Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,771
- 209,301
Jamani my beshtiee
My ina shida gani? Naitumia sometimes
Na hili neno my limekaa kinafki sana.
My ina shida gani? Naitumia sometimes
Na hili neno my limekaa kinafki sana.
Utasikia "my nikwambie kitu ila usikatae sawa my"Naunga mkono hoja
Unafutia mzinga wa kijeshiUtasikia "my nikwambie kitu ila usikatae sawa my"
Hapo zinaanza shida 😂
My kama my sipatani nayo kabisa.Jamani my beshtiee
My ina shida gani? Naitumia sometimes
Acha kabisa bora aniite majina mengine ilo my huwa linaambatana na vizinga.Unafutia mzinga wa kijeshi
Size yao, kikubwa mbususu 😂Wanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
Huyu mfundishe tu anaonekana anahitaji matengenezo kidogo tu, ila make sure sio mwanafunzi mkuu utaja kupata kesi.Hahaha mwenyewe nimeokota sampuli ya hivyo nikishaichakata tu naikacha maana hata akiandika na struggle kuelewa. Ngoja anaandika 'goja'.
Ila pisi kiaina.View attachment 2535833
😂😂😂😂😂😂My kama my sipatani nayo kabisa.
"My leo siji simba wanacheza "😂
HahahaHuyu mfundishe tu anaonekana anahitaji matengenezo kidogo tu, ila make sure sio mwanafunzi mkuu utaja kupata kesi.
Ila pia anajali, huoni anakwambia pole na kazi? Sisi mafeminist hilo neno pole na kazi ni mwiko 🤣
Mbunye ni mbunye bob! 😂😂😂😂Kwa hizi text ni wazi vijana wengi wanadate na mabeki 3 na wasichana wauza maduka 🤣!
Huu uroho wa mbunye utatumaliza akiyanani
Cheka ty my... 😅Hahaha
Usipopambania huwezi kuchakata 🤣Ila wewe jamaa king'ang'anizi
Demu anayeandika my huyo moja kwa moja yupo kwenye category ya vilazaMy kama my sipatani nayo kabisa.
"My leo siji simba wanacheza "[emoji23]
Hivi ujasiri wa kuwa nae ulipata wapi mkuu, au yupo "too irresistible to uncompromise"
Yaaani mtakufa vibaya sanaKwa hizi text ni wazi vijana wengi wanadate na mabeki 3 na wasichana wauza maduka 🤣!
Huu uroho wa mbunye utatumaliza akiyanani
Apana mkuu sio wate [emoji119]Wasomi si ndo mnawaita ma feminist pambaneni na kina mwajey wenu huko ukimpa af tatu ya kusuka anakulamba nyayo. Msituchoshe
Kweli mkuuDemu anayeandika my huyo moja kwa moja yupo kwenye category ya vilaza
🤣 naogopa😂😂😂😂😂😂
Wangu naomba unipigie