Nilimpenda lakini namuacha

Nilimpenda lakini namuacha

Angalia chart nyingi zilizotumwa humu ni xxxxxxx baxi xikujua yaan tafran hao wadada ndio kabisa sijui tunafeli wapj kuandika wakati tunatumia keyboard ya simu
Tena nyie ndio mmezidi xana [emoji28][emoji28]
Nna mwanangu mmoja wa kitambo tu tena huyu ni me basi akikuandikia sms tarajia kukutana na x hadi kero.

Huwa nafanya kumpigia maana muda mwingine sielewi hata ameandika nini, nishamwambia mara kibao ila mwamba haelewi. Kazi kweli kweli.
 
Alikomea la ngapi anashindwa kuandika na mama yangu mzee anaandika vizuri
Ukichunguza vizuri utagundua waandishi wa namna hii walio wengi ni kizazi cha miaka ya 90 na kuendeleaa.

Watu wazima wachache wako na huu utoto.
 
Wanaongea vizuri tu ila kwenye kuandika sms ndio hayo mapepo ya kutotumia herufi husika huwaingilia
Msiwasahau wale wa gali badala ya gari, ha ha hawa ukiwakosoa jibu lao moja tu. Utasikia lakini si umeelewa?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom