Masai wa Town
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 6,711
- 24,490
- Thread starter
- #41
Interesting 😅Mi xio mutoto xawa
Interesting 😅Mi xio mutoto xawa
Halafu ana hasira za kijingaMuache tu mkuu, kwanza hajui hata kuandika...
Tena ni katoto kiakili tu ila kwenye mambo hakajamboNilichogundua hapo bado mtoto
Wahivi mnawapataga wapi??Nimekuwa nikimuelekeza kwa upole ila anaonekana Ana kiburi
Huyu nikikutana naye mgahawani, nikampendaWahivi mnawapataga wapi??
Kwa mtiririko huo wa majibizano, ingekua mimi nisham block baada ya sms ya pili tuHalafu ana hasira za kijinga
Sawa mkuu, siku nyingine jipe muda wa kumjua walau kidogo kabla ya kupendaHuyu nikikutana naye mgahawani, nikampenda
Naunga mkono, muache 😀😀
23, alimaliza form four.Umri wake??
Kwa kweliSawa mkuu, siku nyingine jipe muda wa kumjua walau kidogo kabla ya kupenda
Ndicho kilichobaki, maana Sasa hamna namnaNaunga mkono, muache 😀😀
Woooi lijinga hilo piga chini
Surely ni mjinga Sana huyuWoooi lijinga hilo piga chini
Kwa hizi text ni wazi vijana wengi wanadate na mabeki 3 na wasichana wauza maduka 🤣!😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
23 ndo anamaliza f4 mi 22 ndo namaliza degree eeeh mbona kachelewa kuanza shule hivyo 🤔23, alimaliza form four.
Huyu mbona kama Zuwena wa Dabliyusibii
Ni kwelii 🤣🤣🤣Wanaume wengi huku wakituma charts zao na wapenz wao yaan huwa hawajui kuandika 😂😂😂
“…mutoto…”