Nilimbariki Nchimbi

Nilimbariki Nchimbi

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,910
Reaction score
6,502
Kabla ya kuanza kampeni, Nchimbi alifika ghafla hapa nyumbani.

Nikatoka kutazama amefuata nini
Nikaona padre wa Kikristu alikuwa ameitwa hapa kumbariki Nchimbi.
Yule padre akafanya maombi kumuombea Nchimbi mafanikio katika kampeni.

Halafu mimi nikambariki Nchimbi baraka ya Buddha.

Nchimbi aliposhinda Kampeni hakunishukuru.

Hana shukrani yule mtu.

Blessing niliyompa;

"Peace be with you,may the blessings of Gautama be upon you and dwell within you,and may your business prosper"
 
UChaguzi ambao CCM walijitikia kura wao wenyewe angekushukru nini tena mkuu.
Halafu kwa taharuki iliyokuwepo kati yake na Samia angekuja saa ngapi kushukuru.
 
1. Andrew Buritho Nyerere.
Ule haukuwa auchaguzi
Yale yalikuwa ni Mauaji ya kutisha katika historia ya Tanganyika hayajawahi kutokea kama yale.

2. Hata huyo mnaemwita Rais ameshindwa kwenda mikoani kutoa shukrani.

3. Kuna msemo mmoja wa waswahili wanasema Tenda wema nenda zako usingoje shukran.

Msamehe tu
 
Kabla ya kuanza kampeni, Nchimbi alifika ghafla hapa nyumbani.

Nikatoka kutazama amefuata nini
Nikaona padre wa Kikristu alikuwa ameitwa hapa kumbariki Nchimbi.
Yule padre akafanya maombi kumuombea Nchimbi mafanikio katika kampeni.

Halafu mimi nikambariki Nchimbi baraka ya Buddha.

Nchimbi aliposhinda Kampeni hakunishukuru.

Hana shukrani yule mtu.
Kwa hiyo umemroga?
 
Wewe ni Bhikkhu?
 
Duh...!, kwa hivyo ndio maana...!
1. Kwavile yeye sio wa imani ya Buddhism, hana wajibu wa kuwashukuru watu wa imani nyingine
2. Ma Buddhist hawaombei watu ili hao watu waje wawashukuru, hutenda mema na kwenda zao
3. Kutukurudi kukushukuru, hakumaanishi hana shukrani, shukrani ya kweli ni ile shukrani ya ndani!.
P
 
Kabla ya kuanza kampeni, Nchimbi alifika ghafla hapa nyumbani.

Nikatoka kutazama amefuata nini
Nikaona padre wa Kikristu alikuwa ameitwa hapa kumbariki Nchimbi.
Yule padre akafanya maombi kumuombea Nchimbi mafanikio katika kampeni.

Halafu mimi nikambariki Nchimbi baraka ya Buddha.

Nchimbi aliposhinda Kampeni hakunishukuru.

Hana shukrani yule mtu.

Blessing niliyompa;

"Peace be with you,may the blessings of Gautama be upon you and dwell within you,and may your business prosper"
Ndio maana safari umeisha mapema Kwa kukósa shukrani Kwa Buddha. Na ndio maana wahindi ni matajiri waafrika mmh!
 
Walizima internet October 29,watu wakawa mentally deranged- mentally deranged Kwa sababu watu ni addicted to this internet gossip.
Watu wakawa mentally deranged, mentally disoriented,ikatokea fujo.
Ndio ilivyotokea Nepal,wali- ban mitandao ya kijamii 21 ikatokea rioting.
Nepal,by the way,ndilo alikozaliwa .
Wazee wanachukia fujo.
Wazee tunachukia fujo, because we can't run.
Wasingezima mtandao wazee wangwaambia vijana waaxhe fujo siku Ile ya October 29.
Watu wanataka kisasi.
Waliyofanya yale makosa wawajibishwe.
Mimi nasema tusameheane.
Kama hao watu( wa serikali) ni addicted to killing people,they will do it again. If they kill again that is when acton should be taken.
Lakini kusema kwamba Rais Samia atoe amri ya kumkamata Mafwele,na Sumai,na IGP na CDF na Mkuu wa Ujasusi,wawekwe mahabusu,that is a joke.
 
Vipi hujajaribu kujibariki na wewe mwenyewe ili na wewe ufike mbali?

Au unaogopa na wewe mwenyewe hutajishukuru pia?
 
Back
Top Bottom