Nilimbariki Nchimbi

Nilimbariki Nchimbi

Kabla ya kuanza kampeni, Nchimbi alifika ghafla hapa nyumbani.

Nikatoka kutazama amefuata nini
Nikaona padre wa Kikristu alikuwa ameitwa hapa kumbariki Nchimbi.
Yule padre akafanya maombi kumuombea Nchimbi mafanikio katika kampeni.

Halafu mimi nikambariki Nchimbi baraka ya Buddha.

Nchimbi aliposhinda Kampeni hakunishukuru.

Hana shukrani yule mtu.

Blessing niliyompa;

"Peace be with you,may the blessings of Gautama be upon you and dwell within you,and may your business prosper"
Kama Yesu Kristu aliwaponya wenye ukoma kibao na akarudi mmoja tu kushukuru, wewe kitu gani?
 
Back
Top Bottom