uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 11,765
- 27,890
Nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sana hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo Wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo kilitokea kutoelewana niliomba samahani ili kuweka mambo sawa baada ya kutoka likizo ya semester ya kwanza kuja semester ya pili binti kaongeza vifujo nisivyoelewa nahisi nachoka kwani maumivu yanazidi mpaka nachoka navyosema nachoka yani nachoka mpaka mwili na akili .ukiweza nishauri namna nitakavyoanza upya nataka kuachia ngazi nimechoka kwani mpaka moyo unauma.