yeah ofcoz watu na watu wao..na mtaani wanapokelewa na wapenzi wao tena.
Hebu soma huko. Mitoto mingine bwana
amejua unampenda so he jus take u for granted........
Unaujua umri wake?
Gonga nyanga mkuu......shule ngumu achana nae kama hajielewi.....njia rahisi tu futa namba yake ya simu kata mawasiliano nae kwenye social network zote halafu jikeep busy na shule mbona fasta utamsahau
Hahahahahaha,ilintesa hii,alijua nampenda,vtuko akazdsha akjua siwez muacha kwan nampenda,ila aliisoma number.Sasa ndo eti nlikuwa nkujulia hali tu naona kmya,tupakule.
Asije akawa mtoto wako
Napenda kudamp watu sijui kwa nin