Nilikuwa nasikia sasa nimekutana nayo

Nilikuwa nasikia sasa nimekutana nayo

nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sna hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo kilitokea kutoelewana niliomba samahani ili kuweka mambo sawa baada ya kutoka likizo ya semester ya kwanza kuja semester ya pili binti kaongeza vifujo nisivyoelewa nahisi nachoka kwani maumivu yanazidi mpaka nachoka navyosema nachoka yani nachoka mpaka mwili na akili .ukiweza nishauri namna nitakavyoanza upya nataka kuachia ngazi nimechoka kwani mpaka moyo unauma.

pole mkuu, kwa mwendo wa sasa ni bora uwe fifty fifty, mtu akijua kapendwa sana basi inageuka kuwa bakora kukuchapia, zaidi ww jiambie tu unahitaji kuanza upya kwa maana umejifunza kwa makosa yako, kumbuka lililo kupeleka hapo fanya hilo. Remember when love ends life continuous!
 
tena bwana mdogo somaaa...kuna mapenzi mazuri sanaa huku mtaani...achana na kuumiza kchwa na mapenz ya chuo ambayo mkienda likizo kila mtu anaenda kivyake
 
piga kitabu kaka mwanamke wa chuo kwa asilimia kubwa usimwamini! NB: university is not just for education, contains a lot of life challenges ur 2think on how to tackle them
 
pole,anza kumpotezea taratbu kama mlikuwa mnawacliana kwa cku mara 3 itabd iwe mara mpaka ukizoea inakuja kwa wiki mara moja ukiweza umefaulu kumuacha
 
Wanawake ni wengi sana kuliko wanaume,usiumize kichwa wakati waweza kupendwa na mwingine
 
Sikuomba tu ushauri Kama ushauri ila nilikuwa natafuta sehem ya kuongea angalau nipate nafuu sikatai kuwa Sio jambo gum au jepesi na nilifikiri ingekuwa rahisi ila nikaona inakuwa ngum nikatafuta pa kusemea nikaona nije hapa coz nilipoongea na rum mate aliniambia ukimuacha huyo msichana nitakuona wa ajabu nikamwambia ila unajua hali inavyokuwa ngumakasema ni kawaida komaa nikaoni naona nitafute ushauri coz kukomaa zaidi nashindwa ila sasa hivi najifariji na Kenny Rogers "I can't make you love me if you don't you can not make your heart feel something that you won't so I gave up the fight thanks jamiiforum

Naona were facing same problem...kweli dunia duara
 
Badirisha mfumo, uwe wa vyama vingi, halafu wewe uwe mpiga kura. Utaona kila siku ni kampeni tu, hata kama uchaguzi hakuna.
 
This is a mating season...

i think...
 
Nimefanikiwa kuamka salama Leo na kwenda Ibadan na sasa Niko maktaba namalizia assignment sijawasiliana nae tangu asubuhi na sisikii maumivu sna Kama ilivyokuwa hapo kabla Asanteni kwa ushauri na kunipa moyo is just a matter of time I will back to normal.
 
Nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sna hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo Wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo kilitokea kutoelewana niliomba samahani ili kuweka mambo sawa baada ya kutoka likizo ya semester ya kwanza kuja semester ya pili binti kaongeza vifujo nisivyoelewa nahisi nachoka kwani maumivu yanazidi mpaka nachoka navyosema nachoka yani nachoka mpaka mwili na akili .ukiweza nishauri namna nitakavyoanza upya nataka kuachia ngazi nimechoka kwani mpaka moyo unauma.




Gonga nyanga mkuu......shule ngumu achana nae kama hajielewi.....njia rahisi tu futa namba yake ya simu kata mawasiliano nae kwenye social network zote halafu jikeep busy na shule mbona fasta utamsahau
 
Ni kweli mkuu mwendo primary objective kwa sasa bora kupenda kitabu tu.
 
Nimefanikiwa kuamka salama Leo na kwenda Ibadan na sasa Niko maktaba namalizia assignment sijawasiliana nae tangu asubuhi na sisikii maumivu sna Kama ilivyokuwa hapo kabla Asanteni kwa ushauri na kunipa moyo is just a matter of time I will back to normal.

mapenzi yanahamishika sana tu usikubari jera ya mapenzi
 
Before finding the love of your life you should have to kiss some frogs (although it is not applicable to all people). No matter what happens ur life plan has to stay in its lane. Thank God for all that she did; this was meant to happen. Go to church not simply because u want to spend time for ur pent up emotions! But because he is the almighty pray for an HIV free life & the woman whom the Almighty has planned 4 U. Stay blessed young man
 
Nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sna hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo Wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo kilitokea kutoelewana niliomba samahani ili kuweka mambo sawa baada ya kutoka likizo ya semester ya kwanza kuja semester ya pili binti kaongeza vifujo nisivyoelewa nahisi nachoka kwani maumivu yanazidi mpaka nachoka navyosema nachoka yani nachoka mpaka mwili na akili .ukiweza nishauri namna nitakavyoanza upya nataka kuachia ngazi nimechoka kwani mpaka moyo unauma.

poule mkuu...! mapenzi haya jamaniii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom