dogo komaa na shuule mbona mapenzi yapo tu ukubwani.....
Asante kwa ushauri yametokea wiki mbili zilzopita Niko najitahidi kuvuka naamini nitaweza tangu nimejiambia basi nimekuwa najitahidi kujiondoa mawazo hayo ila Sio rahisi naamini nitavuka baada ya Mda kwani sasa angalau nashika daftari kusoma.
Nilikuwa nasikia mapenzi yanaumiza sasa nimekutana nayo nimempenda binti sna hata yeye naamini mpaka sasa anafaham kwa sababu kwa uwezo Wangu nilio nao hakuna ambacho sijafanya hata pale ambapo kilitokea kutoelewana niliomba samahani ili kuweka mambo sawa baada ya kutoka likizo ya semester ya kwanza kuja semester ya pili binti kaongeza vifujo nisivyoelewa nahisi nachoka kwani maumivu yanazidi mpaka nachoka navyosema nachoka yani nachoka mpaka mwili na akili .ukiweza nishauri namna nitakavyoanza upya nataka kuachia ngazi nimechoka kwani mpaka moyo unauma.

Nimekuwa shabiki wa mpira ghafla angalau huku naona watu kama hawana mashida Sana nimeangalia mechi zote na nilikuwa upande wa anayeshinda kwa man tu ndio sipendi wengine nimeshabikia nikitoka nanyoosha kesho kanisani nitafanikiwa tu.
Dunia ina watu bilioni 7, ka-mtu kamoja tu unachanganyikiwa? Think big bloke acha mawazo ya kizamani
Sent from Nokla using Jf app
Billion 7 humo humo kuna wazee, watoto, vichanga , wanaume wenzake na ndugu zake