Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

amna chuma ulete apo itakua tu umejisahau hakukupa ela yake wakati unampa chenji au ulimpa zote kwa pamoja na chenji
 
amna chuma ulete apo itakua tu umejisahau hakukupa ela yake wakati unampa chenji au ulimpa zote kwa pamoja na chenji
Kinachonifanya nikumbuke alinipa ni pale nilipo anza kutafakar kuhusu ile hela.
Kwanza kabisa nilijisemea hii hela lazima niiweke pamoja na hizi nyenzie nisije changanya mahesabu baadae, pia yake ilkua imechoka kidogo kuliko zangu lakin nikajisemea moyon pesa ni pesa tu.!
 
History ya mhasibu wa vikoba Arusha kalamba hela zote za wakinamama kasingizia hela imechukuliwa na chuma ulete takukuru walipoingia Kati mbona zote alirejesha I don't believe kitu kinaitwa chuma ulete
 
Alikuwa anazidisha chenji kwa wateja, au movement ikiwa kubwa anapagawa, na kuzidisha chenji, business ukikosa mtu smart wa kuhandle transaction nyingi at per, lazima upoteze fedha kwa mtindo huo wa kuzidisha chanji walasio chuma ulete....,,, chuma ulete zinatokea mara moja moja sana, sio kila wiki au kila siku, hvyo mkuu uliweka mtu kiazi kwenye goli lako akakufilisi huku ukiwa unaendekeza huruma
Hii inawezekana maana nae alikua mtu wa ndumu kweli kweli,hata nafkiri sa ingine akiwa high kuna wateja walikua wanatoka akiwa kakaa tu kaweka pozi "Boss" wakati ilikua kazi yake kujua huyu kala nini na nini bili yake ngapi mwisho amdai basi.
Mwisho ni yeye tu akashughulike manunuzi na kesho biashara iendelezwe
 
pole mkuu, vile tunavyofasiri mambo kwenye maisha ndivyo ilivyo na ndio uhalisia wetu.
Kwani hawaibi huko?hela unapewa wewe na benki mkopo wa riba kibao, unalamba mkopo unapukutika unashindwa kulipa.bond uliweka nyumba wanachukua wanaweka whaaah.
We unarudi kwenu Geita huna kitu.
Chuma ulete washafanya yao
 
Hakuna kitu km hicho ...kuna mshikaj hapanMoro ana maduka sana ya nguo ..bas kuna mwaka nikaenda naye Dar ..katika kuhesabu hela akagundua zinamiss 10000 kwa kila laki..akaniambia wangari kila nikifatantu mzigo nakuta kuna hela zinamis..nikaropoka tu nikamwambia wife anafanya yake akabisha balaa..nikamwambia we weka mtego utanuambia...mbona haikuzid wiki akanipgia sm...chuma ulete ni wiz wankawaida sana sana..shida zenu mnaamini san watu..usimuamini mkeo,mtoto,mdg wako ,mteja etc hata siku 1!
Usibishe sana, kama haijakutokea haimaanishi hivi vitu havipo. Njoo uwaulize makondakta wa daladala za makumbusho walichokua wanafanyiwa pale riverside. Baadae wakashtuka na kweli jamaa alokua anafanya biashara ya chenji pale akakiri baada ya kutaitiwa...wakamtimua na hiyo hali haijawatokea tena. Kuibiwa kwa timing kupo na hata ukisoma uzi wa yule Holy holmy utaona alivokua anaiba kwa timing mtu unaweza dhani umeibiwa kichawi, ila haimaanishi mambo ya chuma ulete hayapo japo binafsi haijanitokea
 
Kama kweli chuna ulete wapo basi waende wakaibe fedha benki kuu au taasisi zingine za fedha tuone!
Kawaulize bank tellers kama huwa hawapigwi...na sikuhizi ukienda kuomba chenji ukapewa unabahati
 
Chuma Ulete ipo tena ya kisasa, Iko hiv, , , Pesa ya chuma ulete kwanza inatolewa kwa mkono wa kushoto mara nyingi, mpokeaji wake akitumia Right hand umeisha, ila ukipokea kwa Left haina madhara, , , tena mwenye nayo siku hiyo hafanyi tena kazi hadi siku inayofuata.

Mimi ilinikuta mwaka 2006 nikifundishwa huo mchezo, , , sasa kilichokea nilienda dukani asbh abh na kumbuka muda wa asbh kinakuwa hakuna mauzo mazuri sana, sasa nikiwa na sarafu ya shilingi 100 nikampa muuzaji "Nipe jojo moja" niya yangu anipe chenji, , , maana ukishatoa chenji umeisha, basi bana kumbe yule jamaa naye alipata hilo duka kupitia mchezo kama huo, cha ajabu alipokea kwa mkono wa kushoto jambo ambalo si kawaida, akaitazamaaaa akanambia "Kijana ulipokatia kamba mimi nimechumia kuni" dah sikumwelewa akaendelea kusema "Achana na huu mchezo unaona hili duka nimepatia kutokana na hii, kama unataka sema wapi nikuelekeze ambapo unaweza pata zaidi ya hii kuliko unavjokifanya"

Hapo nimelowa jasho mwili mzima unajua, siku hiyo nilishinda nimelala.

Tatizo la chuma ulete ni kwamba fedha yoyote unayopata unatakiwa kuitumia kabla ya siku kuisha, yaani haitakiwi kilala na hutakiwi kumsaidia mtu, ndo maana unakuta mtu anayetumia huyo hawezi tajirika kwani anapata pesa ya kutumia kwa siku husika tu.

Ngoja nikupe kisa

Sitasahau siku ambayo nilipiga kama elf 6 hivi, afu jioni nimekwenda kucheza mpira, imefika saa moja usiku ile tunamaliza kujicheki mara hela mfukoni, dah si ndo nikakumbuka hela niliipiga alafu haitakiwi kulala, , ,

Wakati huo wenzangu wameanza kuondoka, sasa napiga hesabu elf 6 ninunue nini cha haraka haraka kiliwe kiishe, , , nakumbuka nilinunu miwa ya elf 4 yakutosha[emoji23]nikaanza kugawia watu kila anayepita "Chukua muwa" ingine iliyobaki nikanunua vitumbua alafu 50/50 dah kila mtu kula vutumbua hadi pesa iishe, , , kumbe ndo nilikuwa ninaharibu masharti yake.

Sasa naendelea

Na baada ya kutumia hiyo pesa inaonshwa na dawa maalumu ili kuifanya iendelee kuwa na mvuto.

Angalizo ni kwamba kama ukipewa pesa ambayo unamashaka nayo ipokee kwa left hadi na ikiwa inatakiwa kurudisha chenji pia fanya hivyo, hutachukuliwa fedha zako, , , ,

Kuna siku nitaeleza hii kinagaubaga, amini usiamini Chuma ulete ipo aise!

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Level yako ya ushirikina halafu wote tunatumia Tecno unafanya roho iniume.
 
Ukimpa kondakta hii hela ya chuma nahisi atachanganyikiwa jioni kwenye mahesabu akakutana na matokeo tofauti, wale makondakta wakorofi hii ndiyo dawa yao [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una maanisha nini chief?
Wengine wanasema pesa ni jini, hujawahi kuona mtu akipata pesa nyingi gafra, anachachawa akili zinahama kabisa, atafanya mambo ya ajabu ajabu mpaka mengine yanampelekea umauti?

Nimejifunza, pesa huwa haiji kwa mtu kizembe zembe.
Ni lazima mtu uwe na power ya ku contain pesa nyingi.

Kuna pande mbili zinazotoa nguvu ya kupata pesa/utajili.

Nguvu itokayo kwa Mungu sawa na ile Kumbukumbu la torati 8: 17 -18 inasema ..........Bali utamkumbuka BWANA Mungu wako , maana ndiye akupaye nguvu za kupata utajiri.........
Mathayo 4:7-10..,.......kisha ibilisi akamchukua mpaka mlima mrefu mno, akamuonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake, akamwambia haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia, .....,.......

Kwa hiyo utaona shetani anatoa utajiri/pesa pia ukimtegemea Mungu naye anatoa uwezo wa kumiliki pesa au utajiri.

Katika maisha ya kusaka pesa lazima uchague upande mmoja, ikitokea humuombi Mungu akusaidie pamoja na kufuata maagizo yake mengine mfano kutoa sadaka n.k basi heri uchague kwenda kwa waganga wakupe masharti uyafuate ili upate utajiri.

Ukibaki katikati shetan atakuchezea, ukipata pesa inapotea na kwenda kwa watumishi au watu wake wanao mtegemea.
Kuna watu akitoka kupata pesa ndo matatizo/majanga yanaanzia hapo hapo, utasikia mtoto mgonjwa mala wezi wamemuibia kitu flani na muda mwingine kama hivi chuma ulete wanakufilisi.
Utatumia nguvu nyingi mafanikio kiduchu, utalipwa mshahara mkubwa lkn still unaishi maisha ya magumu.

That's why biblia inasema ni bora kuwa moto au baridi kuliko kuwa vuguvugu.
 
Back
Top Bottom