Nilikuwa napuuza 'Chuma Ulete', leo yamenikuta

Wangari Maathai

JF-Expert Member
Aug 13, 2018
35,048
2,000
Sio kweli nakuambia kuna mtu alimuibia humo ndani kwake
Hata mm kuiba hela kwa kibubu nakuweza mnoo na hutajua ng'oooooo..hawa Hawajui kuna watu akili zinachaji 1000times ..mie huniibii as hizonishu tumefanya sana hom miaka hiyo ..yaan huniibii..kwanza mie hata nikikaa na mwizi namgundua mapema sana .ila kuna watu wazito sana akili zao aise
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,581
2,000
Dada yangu let me tell you in polite way dunia hii tunayo yafahamu ni 0.5% hizo percent zingine hutokaa ufahamu nlikua mbishi kama wewe nilikuja kuelewa baada ya kufungua microfinance tuli share na jamaa yangu tulipigwa sana pesa mpka kuja kulipata tundu linalovuja akili zili kaa sawa
Kwahio mlipigwa pesa za microfinance yenu na chuma ulete? Kwamba wanaingia bank wanazitoa au mlipigwaje?
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,581
2,000
Nilikua hata sijali pesa iliyopotea ila dogo alikua anajuta sana,ni mdogo wangu kanifatia na alikua tu anakaa nyumbani nyumba ya urithi.
Anavuta mibangi tu na msosi basi.

Mpaka namfumbua akili kaja kule nikamkabidhi kila kitu analoose yaani ye mwenyewe alikua down sana.
Anajuta kukuzuga tu. Hapo wala hamna chuma ulete ni mismanagement tu
 
ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
2,156
2,000
Ilikuwaje mkuu, tunaomba uzoefu wako nasi tupate somo.!
Nna visa kadhaa vya haya mambo japo viwili ni vikubwa zaidi
1. Huko usukumani vijijini nlikua na mzazi mwenzangu tulikua tuna ishi kinyumba mimi naishi town yeye kajiliwa huko tukaona fursa nyingi sana za kutuingizia pesa bahati nzuri umeme wa REA ndio ulikua umefika so tuka fungua salon ya kike na kiume, tuka anza kuuza vinywaji na barafu kwa hali kipara cha watu wa eneo hilo salon tulikua tuna nyoa 1000, ya kike maelewano barafu pia tulikua tuna weza kutunza fadia ya Sh 30,000/= per day siku zingine below hapo tukawa tuna kusanya pesa tunaweka kwenye box bubu kumbuka pale alikua ana ishi X wangu tu na mimi kama nipo mtoto wetu alikua mdogo anaishi town,
basi tume fanya biashara mwezi na week 2 kwa makadilio tuna jua kwenye box bubu ipo around laki 9+ siku nmetoka town nika mwambia mwanamke tulipe wafanyakazi na zingine tukanunue vifaa vya shamba maana tulianzisha project za kilimo pia huwezi amini ile box bubu tulikuta elf 70 wife alianguka chini akapoteza fahamu baada ya kuelezea tukio kwa wenyeji ndio nika pata taswira. Kisa cha pili baaadae kidigo
 
Simple kuna mtu kaiba hizo hela.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,581
2,000
Kwenye maisha tuna ishi wajuaji na wabishi mwisho wao hua ni kuumia kama huyo jamaa kwenye avatar yako nme kubaliana na wewe pesa ili ibiwa tufunge mjadala
Povu la nini? Huna hoja ndio maana unaishia kusema watu wakuaji. Wewe unasema pesa zimeyeyuka ni chuma ulete. Wengine tunafikiri huyo X wako kakupiga anasingizia hajui zimepoteaje.
Ungempeleka polisi uone nini kingetokea. Mimi nishapoteza hela nyingi ila siwezi kusema ni chuma ulete.
 
Dinazarde

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
39,838
2,000
Not real Dina...ishawahi tokea kwa mtu wa karibu, alipumbazwa huko mjini na hela ikapotea nyumbani tena kwenye kibubu

Dunia ina mambo hii, kuna mauzauza na vibweka
Sio kweli nakuambia kuna mtu alimuibia humo ndani kwake
Hata mm kuiba hela kwa kibubu nakuweza mnoo na hutajua ng'oooooo..hawa Hawajui kuna watu akili zinachaji 1000times ..mie huniibii as hizonishu tumefanya sana hom miaka hiyo ..yaan huniibii..kwanza mie hata nikikaa na mwizi namgundua mapema sana .ila kuna watu wazito sana akili zao aise
Watasingizia chuma ulete bure
 
maroon7

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
9,442
2,000
Kwamba nao wanapigwa chuma ulete? Sometime mapepe ya mtu anasingizia chuma ulete.
Sio mara zote, ila case za teller kujikuta na short baada ya kutoa chenji ndo ilipelekea wahisi kuna uhusiano na ni mara kibao. Zipo short za kawaida pia ambazo ni uzembe. Nimepiga kazi bank najua hiyo hali
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,581
2,000
Sio mara zote, ila case za teller kujikuta na short baada ya kutoa chenji ndo ilipelekea wahisi kuna uhusiano na ni mara kibao. Zipo short za kawaida pia ambazo ni uzembe. Nimepiga kazi bank najua hiyo hali
Kwamba ulipoteza hela kwa chuma ulete? Au kama ulivyosema wanahisi/mnahisi chuma ulete?
Kuna siku nimeenda crdb asubuhi wa kwanza kuhudumiwa. Dada naona alikuwa na usingizi bado. Nimemuwekea slip halafu nikawa natoa bundles anahesabu. Mwisho alaacha bundle moja ya 1m akaingiza transaction kama slip inavyosema akanirudishia slip ile bundle ya mwisho bado kaicha mbele yangu.
Nikachukua slip then nafikiri nilimwambia hii nimekupa zawadi huku namsogezea ile bundle alioacha. Akaangalia nilizompa na transaction akagundua ile aliiacha. Alinishukuru sana.
Sasa ningeondoka na zile hela probably na yeye angesema chuma ulete maana hatajua kama alizoacha nikaondoka nazo.
 
Trinity

JF-Expert Member
Jul 20, 2017
697
1,000

Hongr kwa uaminifu,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom