Nilikuona Mirembe

aduwilly

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
1,176
305
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe
 
kweli kabisa, mimi ni daktari wa vichaa pale milembe, nakumbuka ulishaletwa pale 2kakuadmitt, vp lakini hali yako? Unaendeleaje?

Mi mwenyewe aliniona, si siku ile tupomleta alipokuwa anaugua ule ugonjwa wake wa kichaa, kwa maendeleo kama haya doctor unaonaje hali yake, au tumlete tena
 
Wewe unaesoma thread hii sura yako siyo ngeni machoni mwangu, ni wazi nilikuona mirembe

Nilikuwa nafanya sensa ya vichaa pale milembe, na kwakweli wewe ulitusumbua sana.
 
ee kweli ni wewe,unakumbuka uliharisha kwenye ambulance nikakupa adhabu ya kusafisha?
du inaelekea unapata nafuu sasa uache ile sigara kubwa.
 
Me huwa naenda kutizama vituko tu...sio kila unaemuona mirembe ni mwehu @

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Kwani ni lazima na wewe upost? Sasa kinachekesha nini hap?

Nani kakudanganya kuwa hili ni jukwaa la vichekesho? hili jukwaa ni kwa ajili ya Jokes=Utani na Udaku=Gossips, so kucheka ni matokeo ya endapo joke iliyotolewa au gossip iliyotolewa itakuchekesha lakini hili siyo lengo kuu la jukwaa hili. After all kucheka ni subjective so siyo kinachokuchekesha wewe na yule pia kitamchekesha.
 
kweli tena bora umenikumbusha coz ile dawa yako ndo nimeipata bt nilikusahau c unajua mnafanana lile tatzo lenu we na yule monitor wenu wa wrd
 
Back
Top Bottom