Nilikuona Mirembe

HUjakosea!!! nilikuja pale kufanya research ya waathirika wa ukimwi, na waliofanyiwa ngono kinyume na maumbile tangu wadogo ... vp hali yako? maana walikulalamikia kuwa wewe bado unataka kufanyiwa kale ka mchezo na vichaa wenzio......

Nakushauri uwaombe MODS wakuanzishie jukwaa lako la matusi ili uwe una-comments na kupost alone
 
Nimeamini kua bangi bila ya kula mbaya sana!

Mnaionea tu bangi kwa kuwa haisemi, sivyo ingeandamana kupinga kusingiziwa kuwa moshi wake ni mbaya wakati imewafanya wanajeshi mbali mbali kuwa mashujaa duniani na hata kina naniliu kuonekana zinga la wachezaji mpirani
 
Mkuu bangi ni nzuri sana tatizo wengine wanavuta bila ya kula mgogoro ndo unapoanzia!
 
Mkuu bangi ni nzuri sana tatizo wengine wanavuta bila ya kula mgogoro ndo unapoanzia!

ila sidhani kwani moshi wa pafu moja tu insemekana unauwezo wa kukaa mwilini miaka saba, ndo mana hata naniliu wetu anaonekana msanii tu coz aliipiga sana enzi zile yupo mjeshi kabla hajaacha na kuingia kwenye siasa
 
Km una afya nzuri moshi wa bangi hauwez kukusumbua ht km utakaa mwilini miaka mia mbili.Km unaweza kuishi na vvu miaka 15 sembuse moshi wa bangi.
 
Katika list ya vichaa waliotoroka nimeona haya majina

1.aduwilly
2.Kinyesi cha Ng'ombe

Kumbe mpo huku afadhali nimewatambua
 
Kweli kuna vichaa humu JF yaani na matusi yote hawaachi kujibu wanang'ang'ania nimekuona
 
Naskia wauguzi wenu wamegoma, hali ikoje mahali hapo

Aah! kumbe toka utoroke cku ile hujarudi tena. Nasikia wauguzi walisema bila wewe kurudishwa wataendelea kugoma hadi walinzi wafukuzwe kazi
 
Back
Top Bottom