Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Una jini mahaba wewe.... Sasa ulitaka afanyeje.. Ulitaka story za aina gani tena.... Nyie wanawake mna wengeHuyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Acha kuwa na roho mbaya wewe..... Urafiki gani wa mume na mke wa kusaidiana bila kutafunana...ungekubali akachukue chumba .mkifika ndani umfungie humo utoke na nguo zake zote umuitie global waje wampige picha
Kwani kuna shida gani!Baada ya miaka kibao eti tuendeleze tulipoishia.
wazungu wanasema history is a repetitive, mngekumbushia tu angalu ndio story zingenogaKwani tulikuwa na mkataba mkuu?
huo mstar wa bible umeutumia kuhalarisha unzinz?????!!!Eti akaliamsha dude, daah nimecheka sana
Ila wazungu wametusaidia vitu kama microwave badala ya kuchochea kuni[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Psalm 133:1[emoji768] "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
ww jamaa una akili sanaTatizo naye alikuwa na pupa akashindwa kufuata protocol elekezi,angekuwa ni mimi ungelika tu tena kwa hiyari yako mwenyewe.Kwanza angeacha siku ya kwanza ipite,huwezi mla mwanamke anayejielewa siku ya kwanza tena gesti,siku ya kwanza ni ya kufamiliarise,kusoshalize,kumfanya mdada awe komfotabo na wewe,alafu unaomba apointment nyengine
Sent using Jamii Forums mobile app
ww unatakiwa uwe mchambuzi kwenye kipindi cha Diva wa cloudsHuu mfumo utakuchelewesha sana mkuu, mleta mada ameshasema ndo mpenz wake wa kwanza.... kwahyo walikuwa hawaend kufanya kitu kigen kias cha kuanza kumtengeneza awe comfortable, kwahyo kumranda siku hyo hyo ilikuwa inawezekana.
alichokosea jamaa ni kitu kidogo sana,
Mnapoachana na mpenz wako kwa kipind kirefu, mkija kukutana tena, kila mtu huwa anajaribu kujiweka juu.... yan kila mtu anaonyesha pride yake, kwahyo kitendo cha kumpeleka gest kilikuwa na tafsiri ya dharau kwa mwanamke, kichwan alianza kujiuliza hiv huyu ananichukuliaje? Akaona ameletewa dharau, lakin jamaa ilibd aombe geto hta la jamaa ake aende akakae na bint huko huku wanakula nyamachoma yao wakiwa ndan, hku jamaa akiwa amejifanya mdooooogo, hapo dogo hasingechomoa.
kisaikolojia, mwanamke mwenyewe alikuwa amejiandaa kuliwa... (japokuwa atabisha).. unakuta alishavaa ile chup yake anayoipenda... ila jamaa kashindwa kutembea kwenye reli.
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo kila mwanaume anapokutana na mwanamke mara ya kwanza anataka amgegedeMkuu kuwa gentleman is not a facade,nor a persona,sio kitu cha kujifanya ni tabia na principle unazoishi kwazo,usichanganye kuwa gentleman na kuekti upole/ustaarabu,pili hata wanawake nao wanatafautiana wanawake wako vibiriti ngoma na wale classy,sasa mimi nadeal na classy ladies so nazungumzia hao.alafu haya masuala ya kutinduana kila mtu ana style yake,kuna nyie mnaopenda haraka haraka papo kwa papo na wengine wanaopenda kula mzigo katika mazingira tulivu na kwa conditions wanazozitaka.Mi siwezi kuwa comfy kula tunda kwenye geto la mshkaji.kwanza sina ushkaji wa kuazimana mageto.
Sent using Jamii Forums mobile app
ebwaana lkn si alikula mzigo mana aujamaliziaHuyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.