Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Kwahiyo ulitaka aanze kukutongoza upyaaaa dah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe hujaolewa bibie. Najuaga ni mama watoto wa mtu.
 
Duuh aisee!huyo mwnwume ni rijali kwelikweli.
 
Kwa hiyo umemegwa siyo...
Hahaaa...!
According to Penz la kale'z law
"X relatioship haijawahi kumuacha mtu salama, provided that mliachana pasipo mgogoro mkikutana again lazima mgidane penda usitake"
Kweli mkuu, Hawara hana talaka, mi nahisi shoo ilipigwa, ila naona mshkaji anazuga, anaomba ushauri kiaina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti akaliamsha dude, daah nimecheka sana
Ila wazungu wametusaidia vitu kama microwave badala ya kuchochea kuni

Psalm 133:1 "Behold, how good and how pleasant it is for brethren to dwell together in unity."
 
Hahaha, labda alitaka mkae tu huko muongee ongeee
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Si ungempa SE? Kwani anachukua? Si anagegeda tu utamu mnapata wote kisha anafunika. Si ajabu sasa umekuwa bomba kuliko wakati mlipokuwa pamoja na pia sasa hivi umeongeza mautundu kwenye sita kwa sita na yeye hali kadhalika kaongeza mautundu. Umeshaliamsha dude hilo ni lazima lifanye juu chini hadi likuvue kyupi kwa mara nyingine tena. Ukiamua kuvua kyupi tuletee mrejesho wa mautundu yenu mapya ya 2017 kwenye kugegedana.

Back
Top Bottom