Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Mkuu kuwa gentleman is not a facade,nor a persona,sio kitu cha kujifanya ni tabia na principle unazoishi kwazo,usichanganye kuwa gentleman na kuekti upole/ustaarabu,pili hata wanawake nao wanatafautiana wanawake wako vibiriti ngoma na wale classy,sasa mimi nadeal na classy ladies so nazungumzia hao.alafu haya masuala ya kutinduana kila mtu ana style yake,kuna nyie mnaopenda haraka haraka papo kwa papo na wengine wanaopenda kula mzigo katika mazingira tulivu na kwa conditions wanazozitaka.Mi siwezi kuwa comfy kula tunda kwenye geto la mshkaji.kwanza sina ushkaji wa kuazimana mageto.Haahaaaa.. tuanzie hapa mkuu, kwanza unapojifanya gentleman, kati ya wanawake mia... tisin wote watakudharau,
wanawake wanapenda ma "gentlemen" kwa maneno tuu... lakin kwa uhalisia hamna kitu kama hiko, tena ukijifanya gentleman ni kwamba unaandaa mazingira ya kujiua na presha... maana siku utakutana na jamaa kauzu hlf ndo anamtafuna yule mwanamke unayemuundia strategies kibaaao unazoziita za kigentleman.
wanawake wengi, wakiwa wamejiandaa kuliwa na ukashindwa kumtafuna, huwa HAWARUDI, kwahyo "unapokutana na mfalme msalimie hapo hapo"
Kukaa na mpenz wako kwenye geto la jamaa yako, wakat anafaham una kwako ila tuu kwakuwa umeoa huwez kumpeleka pale, hyo haiwez kushusha heshima yako kamwe, hlf unachotakiwa kujua, kwenye hlo geto haitokuwa tabia endelevu, litatumika kumkumbusha mazur yako tuu... ili baadae aombe yeye kukuona, na mchague lodge nzur mkafanye yenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
kusaidiana si ndo uko! unataka kusaidiwa ww tu ivi wanawake mkoje, unakuta demu kala vya mtu alafu gemu utak kutoa ulivyopokea we kilema labda usemi ni msaada alikupa.yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
Mkuu nipe shule, wanawake unaowaita "classy ladies" wana sifa gan?Mkuu kuwa gentleman is not a facade,nor a persona,sio kitu cha kujifanya ni tabia na principle unazoishi kwazo,usichanganye kuwa gentleman na kuekti upole/ustaarabu,pili hata wanawake nao wanatafautiana wanawake wako vibiriti ngoma na wale classy,sasa mimi nadeal na classy ladies so nazungumzia hao.alafu haya masuala ya kutinduana kila mtu ana style yake,kuna nyie mnaopenda haraka haraka papo kwa papo na wengine wanaopenda kula mzigo katika mazingira tulivu na kwa conditions wanazozitaka.Mi siwezi kuwa comfy kula tunda kwenye geto la mshkaji.kwanza sina ushkaji wa kuazimana mageto.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini huwa mnaoa?
Ukamnyima Mubasharaaa....Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Msaada upi wa kimaisha kwa mfano?yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
Articulate,confident,independent,smart,wanaojiheshimu,kujipenda na kujua nafasi yao,hadhi na heshima yao.nawazungumzia wa sampuli hiyo.Mkuu nipe shule, wanawake unaowaita "classy ladies" wana sifa gan?
Sent using Jamii Forums mobile app
Badili lugha mzee... andika kiswahiliArticulate,confidentindependent,smart,wanaojiheshimu,kujipenda na kujua nafasi yao,hadhi na heshima yao.nawazungumzia wa sampuli hiyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu wanachoma nyama tamuu sanaa![]()
Bucha likaamishiwa Gesti... Shikamoo Mapenzi ya kihenga
Sent using Jamii Forums mobile app




Ni sawa kuonana lkn alielewa ww ni mtu mzima mwenzakeSi kuoana nae