Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 55,028
- 59,657
Ndio mpenzianakungoja aisee...kumbe nianze ee?
Ndio mpenzianakungoja aisee...kumbe nianze ee?

Kiporo hakihitaji moto mwingiHuyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Ni mtu wake walipotezana muda, sasa wakipasha kiporo kuna shida gani?yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?
Mwenzangu leo nimekuwa so romantiki....kuna bi dada nadhani tunapendana....sooon takualikeni kwenye nenyenyeeee!Hapana.
Mkewe pia amemkana leo, anasema si wa ndoa ya kanisani, wanaume.
Huu ni uzi mwngne rose au!Kuna wanaume madude yao hayaamki, duh, unalilazimisha linalala kushoto, unaliamsha linalala magharibi,
Unarisk unalipia tu, smtymz inaongeza credit na atajikuta ameinua drinks mmeingia rum..Aisee!!!! Mi ningesoma kwanza body language yako kabla sijalipia guest.
Babe ndo ulivoamua kuniumiza roho kihivi?Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.
Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.
Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
Dah, we mdada bwana. Kumbe hata jf wanaume wanataka kuliamsha dude mkishafahamiana tu!!!yaaani wanaume wa siku hizi ukikubali urafiki tu wanawaza ngono.hata huku jf ukimpa namba siku mbili anaanza kukuambia alivo na nyege inakuwa vipi kugegedana.najiuliza hii forum ni ya ngono? hatuwezi kuwasiliana kusaidiana kimaisha?