Nilikuja kukusalimu tu si kuliamsha dude

Sky Eclat ukweli tu labda hukuwa na nyege, ungekuwa nazo ungeliamsha dude tu. Humu wanasema tu lakini wadada kibao wanapashwa viporo na jamaa zao wa zamani. Nakumbuka wakati wa ujana wangu, on my birthday ex akanitumia text ya happy birthday, nilipomjibu tu nikaambiwa ana zawadi yangu. I banged that tight little thing and my birthday ended really on a high..
ha ha ha ha ha ha akili zao wanazijua wenyewe tu
 
ungakataa na nyama sidhani kama angetafuta gesti, kwani nyama choma alilipia yeye?
 
Duh! Kuna member mmoja alisema 'ukioa mwanamke ambaye si bikra umeoa mke wa mtu'. Hii ina ukweli, mawasiliano na x ya nini?! Hapo huyo jamaa alikuwa mzembe tu angekuwa mjanja angekula mzigo hawa wanawake wanaojidai eti mapenzi hakuna bali urafiki na x hamnaga kitu.
 
Ujafanya fair mkuu kama ulipewa namba zake mkawasiliana na kukumbushia way back moments zenu pamoja ko na yeye alikuwa anajaribu kuongezea moja ya moment mlizo had b4,wat I can say mpe anaza chance ili moyo wake ulizike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu kaka alikuwa first boy friend wangu miaka ileee, tulipotezana kabisa si unajua harakati za maisha zilivyo nyingi. Imetokea anakaa jirani na work mate wangu, katika maongezi work mate alinitajia mitaa anayokaa nikakupunguka unaifahamu hii family, maana kile kipindi cha uboy friend na ugirl friend shurti kwenye party utinge home na mwenyewe ukijua huyu ndiye wa kwashida na raha unajipendekeza kwa mama mkwe pia.

Basi shost alimpa salamu na nikapewa na number ya simu, tulisalimiana tukakumbushana mambo ya historia na kucheka basi nilimwambia leo J'mosi nitakwenda kumuona shost maana analeta vitenge kutoka Kigoma. Nimefika mitaa jamaa akaniambia tukale nyama kuna sehemu wanachoma nyama tamu sana. Tumekwenda kula khe mwanaume anatafuta chumba guest, jamani jamani alinibore vibaya sana.

Hivi ndiyo weekend ilivyokwisha sidhani kama tutawasiliana tena.
This story continued

Kupasha kiporo ....usiniambie uliruka!

if i tell you say l love you ooh..
my money my body na yo on oh baby..
30 billions for the account yo ooh..
versace & gucci for your body oh baby...
 
Umenikumbusha juzi mtu kanihubiria nna maongezi tukutane tuongee, zaidi ya mwezi nkaona isiwe tabu nikamwambia ntakuwa na muda siku flani ila tukae sehemu ambayo sio baa ilojaa Walevi

Maajabu ya Farao anipigia nikamuuliza ni wapi nikufuate maana siko home kanitajia bonge la lodge na keshalipia. ' nkamuambia tunaendaje kuzungumzia chumbani? Yuko kule kuna kila kitu utakacho utapata mama! Sikupokea simu yake tena. Kesho yake nikamwambia kuna mtu alikuambia mimi ni changudoa? Basi ungetuma hela yangu kabisa Jipu wewe
hahaha le madame ungeenda ilibaki kidogo tu ile kwako hahahaha...ila kwa scenario hiyo naweza tell why it happens that way.
 
Back
Top Bottom