Huu mfumo utakuchelewesha sana mkuu, mleta mada ameshasema ndo mpenz wake wa kwanza.... kwahyo walikuwa hawaend kufanya kitu kigen kias cha kuanza kumtengeneza awe comfortable, kwahyo kumranda siku hyo hyo ilikuwa inawezekana.
alichokosea jamaa ni kitu kidogo sana,
Mnapoachana na mpenz wako kwa kipind kirefu, mkija kukutana tena, kila mtu huwa anajaribu kujiweka juu.... yan kila mtu anaonyesha pride yake, kwahyo kitendo cha kumpeleka gest kilikuwa na tafsiri ya dharau kwa mwanamke, kichwan alianza kujiuliza hiv huyu ananichukuliaje? Akaona ameletewa dharau, lakin jamaa ilibd aombe geto hta la jamaa ake aende akakae na bint huko huku wanakula nyamachoma yao wakiwa ndan, hku jamaa akiwa amejifanya mdooooogo, hapo dogo hasingechomoa.
kisaikolojia, mwanamke mwenyewe alikuwa amejiandaa kuliwa... (japokuwa atabisha).. unakuta alishavaa ile chup yake anayoipenda... ila jamaa kashindwa kutembea kwenye reli.
Sent using
Jamii Forums mobile app