TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,831
- 4,471
Hakuna kitu kina ua urafiki kama madeniMwezi wa pili nilimkopesha dem fulani hela, alikuwa ndio amehamia geto kuna vitu alikuwa lazima anunue.
Kiwango cha pesa sitokitaja ๐, aliniahidi kurudisha katikati ya mwezi wa 3 sasa naona siku zinayoyoma. Tulikuwa tukisaidiana sana vitu mbalimbali ndio maana nilimuamini na hiyo pesa, kiufupi tulikuwa marafiki wa karibu kwa muda mrefu.
Nifanyeje?
Hata msipochapana mwanamke hua harudishi Hela sijui tatizo huwa ni niniKama mlichapana sahau hiyo pesa.
AiseeMambo ya anal scatting huwezi amimi mamende wakiona ๐ฉ๐ฉ๐ฉ ndo mizuka ya kupeleka pipe inapanda sasa ๐
[emoji23]ngumu sana....Kma unamuweza jifanye kwenda kwake alafu kichikue kitu chochote chenye thamani ya ela yko
Atakuuitia mwizi ufe,mwachie tuKma unamuweza jifanye kwenda kwake alafu kichikue kitu chochote chenye thamani ya ela yko
Unafanya kazi ya kanisa[emoji23]Omba mzigo ujilipe. Mm mwanamke simkopeshi. Akija kwa gia ya kukopa huwa kwanza naiuliza nafai yange. Je, wewe nafsi unaweza kumpa hicho kiasi huyu binti? Kumpa sio kumkopesha. Nafsi ikikubali nampa. Akirudisha sawa asipo rudisha sawa
[emoji3][emoji3]Man umefeli sana. Hao akikopa laki 1 we mpe mwisho 20 hafu na yeye akupe utelezi basi.
๐Haya malipo ya hivi yatawafanya undugu/urafiki ufeatakulipa, subiri Kwani na ramadhan iishe
bado hajapata, akipata atamlipa๐Haya malipo ya hivi yatawafanya undugu/urafiki ufe
๐Muone vilebado hajapata, akipata atamlipa