Nilijua tu Mwabukusi lazima amtoe Feleshi

Hamza yupo vizuri sana kwa watu walio karibu na masuala ya kiserikali wanaujua uwezo wake. Kwa wale wenye kupokea habari za jumla jumla hawawezi kumfahamu.

Kafanya mengi tangu enzi za hayati JPM aliyekoshwa na shughuli zake akasema kwa utani kwamba atamkabidhi binti yake. Ni mwanasheria msomi mwenye maono makubwa.

Kanunua rada nne kwa shilingi bilioni 67, wakati wapigaji kina Chenge walinunua rada moja kwa pesa hiyo na nguvu ya rada hiyo mwisho wake ni hapo Ngerengere tu, kwa ufupi tulipigwa miaka ile ya Mkapa.

Hivi sasa hakuna ndege inayoweza kukatiza kwenye anga la TZ bila invoice kwenda kwenye mamlaka ya anga ya nchi inapotoka, huo ni ubunifu wa kimaarifa wa Hamza Johari.

Kafanya mengi ya kimikataba na hayatangazwi hadharani wala kuandikwa kwenye magazeti yetu haya kina RAIA MWEMA au Mwananchi.
La dp world unasemaje?
 
Asee!
 
Naona Mh. Jaji Feleshi kama alikuwa anapitia wakati mgumu sana maana ile nafasi ni kama demotion kwake japo alibaki na ujaji wake ila dah, sio poa.

Yaani unakuwa mchungaji na mtolewa pepo kwa wakati mmoja, sio poa kabisa
 
Hiyo hasara ya 60% imekaaje?
Fake news, kuna waliolichukulia suala zima la uwekezaji wa DPW katika mtazamo wa mashindano. Kitendo cha SSH kuhakikisha wanapewa nafasi ya kuwekeza kiliwaumiza hao watu wenye akili chafu.

Wanatamani sana turudi kule kule katika kuiendesha bandari kizamani, kwao ni poa tu kusikia wafanyabiashara wanahama bandari na kwenda Beira au Mombasa.

Ni akili za kichawi za baadhi yetu.
 
Back
Top Bottom