Nilijifunza kutongoza kwa hii nyimbo ona basi

nashukuru kusikia hivyo..
Vipi ule msosi tayari maana bado nasubiri lol

mpishi si alivyoenda sokoni akapoteza pesa bana.. ndio nataka niende mwenyewe ila naona kula foleni sana na itabidi jikoni niingie mwenyewe ...unakuja na nani?
 
Sasa mlinzi wa maembe si embe likidondoka anaokota au? inaonesha kabla koz ya kiarabu itabidi tuanzie kwenye koz ya u security kwanza.
Yule anko mwenyewe sku ile si alikwambia hata nikikufanya nini wewe uchekecheke tu itakuwa ni sehem ya ulinzi. Umesahau?
:nono: no no no no
My uncle said ukijaribu tu nimpigie sim!
Na nampigia sasa hivi as a matter of fact! :phone:
 
mpishi si alivyoenda sokoni akapoteza pesa bana.. ndio nataka niende mwenyewe ila naona kula foleni sana na itabidi jikoni niingie mwenyewe ...unakuja na nani?

dahhhh na tumbo lina nidai sasa..
itabidi niende kona baar kutafuta mbuzi mtamu na bia moja..
Huyo mpishi wako itabidi uongee naye kwa herufi kubwa..

ilikuwa nije mwenyewe...
 
hehehe nina database yote ya deskmate, sasa wewe endelea na makelele yako kama umechoka kuishi uraiani.

wewe jamaa tokea unitishie kunitupia busha nakuogopa hadi leo..ila kuna sehemu niliona Afro d kasema kuwa anayapenda kwa hiyo ukinirushia busha tu intabidi mimi na AD tuvunje ukaka na udada hapo hapo kwani najua hakuna mdada mwingine anaye yapenda hapa duniani.
 
dahhhh na tumbo lina nidai sasa..
itabidi niende kona baar kutafuta mbuzi mtamu na bia moja..
Huyo mpishi wako itabidi uongee naye kwa herufi kubwa..

ilikuwa nije mwenyewe...
unaendaga kona bar? pale mimi sirudi tena mwenzako
 
Ngoja nikuwe mod nikugawie michango ya JF. nipigie debe

we sikuamini ..
unamfuko mchungu kama Klorokwin..
Ntakupigia debe , ukipata kazi mwehhh
mshiko wote unautia ndani.. halafu utaanza
ohhh kijijini hakuna mvua hii kiangazi nimetuma mahindi..

siku ya pili nakuna na na yale magari ya ujerimani..mmhh:juggle:
 
wewe jamaa tokea unitishie kunitupia busha nakuogopa hadi leo..ila kuna sehemu niliona Afro d kasema kuwa anayapenda kwa hiyo ukinirushia busha tu intabidi mimi na AD tuvunje ukaka na udada hapo hapo kwani najua hakuna mdada mwingine anaye yapenda hapa duniani.
heheh Ivuga bana! umenikumbusha mzembe flani alikuwa na busha halaf harusini akajifanya kuvaa suti dah! aliondoshwa kwa wheel chair.
 
Hehehe uspige bana! mwali bana! hautaniwi na wewe?
Nimepiga inalia hapokei. Nimempigia Anti nae inalia hapokei.
Sasa ngoja nianze safari ya kuwafikishia habari live!
Ivuga, tutaonana baadae. Afrodenzi, please talk to him alete barua ya posa.
MziziMkavu, nashukuru kwa nyimbo nzurinzuri, hasa ule hello wa Lionel Richie.
Njiwa, Bak na wengine wote good morning!
 
Kama ni vya kuruka ukuta mi simo!
Na investment yote alio fanya anti yangu kwa kweli nitakua nimefanya ujinga.
Ongea nae tu, she is so lovely.
Au muulize AfroDenzi basi what to do, she is so wise (kumbuka siku alikwambia unipe maua?)
nakumbuka ..na niliahidi so soon
 
Pole sana doc. Kazi ya Mungu.
Wanapumzika salama wote, wanasubiri Umm ul qiyamah... Soma Suratul Imran (169-170)
Kumbe kitabu cha allah kinapanda mwali !!!!!!! kumbe humu tuna wanazuoni kasheshe kweli mwaka mwaka 2004 alifariki mdogo wangu wa mwisho mwaka 2006 alifariki mjomba wangu mwaka 2007 alifariki Dada yangu mkubwa wa tatu katika kuzaliwa Mwaka 2010 alifariki Dada wangu wa tano katika kuzaliwa yaani umenikumbusha familia yangu yote tulikuwa tupo 17 sasa tumebaki 13 nalia sana usio wa leo umenikumbusha mbali wacha mwali tuzungumze mengine
 
we sikuamini ..
unamfuko mchungu kama Klorokwin..
Ntakupigia debe , ukipata kazi mwehhh
mshiko wote unautia ndani.. halafu utaanza
ohhh kijijini hakuna mvua hii kiangazi nimetuma mahindi..

siku ya pili nakuna na na yale magari ya ujerimani..mmhh:juggle:
hehehe eti nimetuma mahindi, halaf wanasayansi wamesibitisha kwamba mahindi yanaongeza sex drive ukiyala na kurunzi lake
 
wewe jamaa tokea unitishie kunitupia busha nakuogopa hadi leo..ila kuna sehemu niliona Afro d kasema kuwa anayapenda kwa hiyo ukinirushia busha tu intabidi mimi na AD tuvunje ukaka na udada hapo hapo kwani najua hakuna mdada mwingine anaye yapenda hapa duniani.

ahahahahahahah Ivuga bana hapoumenishika shati lohhh..
 
Back
Top Bottom