Nilijifunza kutongoza kwa hii nyimbo ona basi

Eee bana ee wakuu nalog out, stay blessed. Mida za kuokota wallet za walevi izi.
mtakatifu ivuga na afrodenzi bila kumsahau dry root a.k.a mzizimkavu na alwattan njiwa. Kwa niaba ya mamaangu wa kambo ambae anapenda kuongea na faza kwa kizaramo nawatakia usiku mwema nyote na alfajiri njema.
Mungu awafungue wajawazito wote duniani bila opereshen. Ameen
Usiokote wallet za walevi ni dhambi kwa mungu wewe bado hujaokoka?
 
Sasa kama alijifunza kutongoza kupitia huo wimbo maana yake anaweza kua na miaka ngapi hivi?
Mimi nimetania nimejifunza kutongoza mnamo mwaka 1980 wakati nina umri wa miaka 16 nimejifunza kutokana na nyimbo za Leon Richie

'I wanna know' una miaka 12. Ulitolewa mwaka 2000.
Mwaka 2000 nina umri wa miaka 36 bado nitakuwa sijuwi kutongoza? na nina mtoto wa miaka 24 Je bado sijajuwa kutongoza jamani? mimi nimezungumza joke ndugu msiamini hayo.

Kama alikuwa na miaka 21 au 22 basi sasa atakuwa na 33 au 34
Jini Mapembe una miaka mingapi?
 
:nono: no no no no
My uncle said ukijaribu tu nimpigie sim!
Na nampigia sasa hivi as a matter of fact! :phone:

Kama ni vya kuruka ukuta mi simo!
Na investment yote alio fanya anti yangu kwa kweli nitakua nimefanya ujinga.
Ongea nae tu, she is so lovely.
Au muulize AfroDenzi basi what to do, she is so wise (kumbuka siku alikwambia unipe maua?)

Mwali we kalale mwaya.
Lala unono hata usiwaze jambo..
Ivuga ngoja nikae nae chini .. ukiamka ..
Mambo shwari itakuwa kama ile Sinderella story..
sweet dreams beautiful..:poa

My Anti is back, Deskmate na Ivuga mtakoma.
Nawaripoti SASA HIVI!
Antiiiiiii, I have tones of things to tell you!!!

Dah! Kwa maongezi yaliyojiri humu ndani..... Thank God Afro D alikuepo hapa na kukuokoa.

Ivuga hafai hadi ajieleze ilikuaje V day alimchagua Kabakabana over you my beautiful priencess....

Huyu Klorokwin kazi ya kuku protect alopewa hii.. sisemi neno ngoja niongee na ankal wako.

Mwali my mwali... I am sorry love we were unreachable... Tulikua a brief hane mun ambayo ilisitishwa na emergency ya kazi' simu zote zilikua switched off. Usilie lakini tumekuletea zawadi nzuri kweli kweli.

Muulize na Mzizmkavu kama alipotongoza siku ya kwanza alifanikiwa kumpata huyo kigoli.
 
Anti, nina wasiwasi mkubwa sana na huyu bodigadi nilopewa na Uncle
Kwa kweli akija namwambia haya yote.
Ivuga nae sijui kwa... Kuna mengi sijakwambia...
Tukikaa kuongea nitakwambia haya...
Sasa nimeamua hakuna kuongea nae,
Kama ana jambo lolote aongee na nyinyi tu sasa!
Mzizimkavu was very nice to me, hana shida kabisa.
 
Mwali Klorokwini alichaguliwa yeye sabab ni Mwaribifu namba MOJA wa ma Mwali na pia ni the most reliable person ukimpa kazi, aifanya kweli.... Your ankal knows that. Na akaona ili uwe safe ni bora akukabidhi kwa Kloro, ingekua yeye sio body guard wako angekua kisha haribu siku nyiiiiiiiingi! lol Hicho tu ndio kinachomfanya ajaribu lakin he can no go further for he knows your ankal....

Asante Mzizi kw kua good to my niece and mwali....
 
That is good to know, coz I sort of like hanging out with him. lol
 
Dah! Kwa maongezi yaliyojiri humu ndani..... Thank God Afro D alikuepo hapa na kukuokoa.

Ivuga hafai hadi ajieleze ilikuaje V day alimchagua Kabakabana over you my beautiful priencess....

Huyu Klorokwin kazi ya kuku protect alopewa hii.. sisemi neno ngoja niongee na ankal wako.

Mwali my mwali... I am sorry love we were unreachable... Tulikua a brief hane mun ambayo ilisitishwa na emergency ya kazi' simu zote zilikua switched off. Usilie lakini tumekuletea zawadi nzuri kweli kweli.

Muulize na Mzizmkavu kama alipotongoza siku ya kwanza alifanikiwa kumpata huyo kigoli.
Nilifanikiwa kumpata huyo kigoli wangu kwa maneno ya hiyo nyimbo ya kwanza hapo juu hebu angalia maelezo ya hiyo nyimbo hapa chini

Yeah, oh yeah
Alright, oh oh

It's amazing how you knock me off my feet
Every time you come around me I get weak, oh yeah
Nobody ever made me feel this way, oh
You kiss my lips and then you take my breath away
So I wanna know

I wanna know what turns you on
(Yea, I'd like to know)
So I can be all that and more
(I'd like to know, yea)
I'd like to know what makes you cry
(So)
So I can be the one who always make you smile

Girl he never understood what you were worth, no
And he never took the time to make it work, no
(You deserve more loving, girl)
Baby I'm the kind of man who shows concern, yes I do
Anyway that I can please you, let me learn
So I wanna know

I wanna know what turns you on
(I'd wanna know)
So I can be all that and more
(I'd like to know)
I'd like to know what makes you cry
(So)
So I can be the one who always makes you smile
(Make you smile, baby)

Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I'll do
'Cause I only wanna make you happy
From the bottom of my heart, it's true

Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I'll do

'Cause I only wanna make you happy
From the bottom of my heart, it's true

I wish that I could take a journey through your mind, alright
And find emotions that you always try to hide babe, oh
I do believe that there's a love you wanna share, oh oh
I'll take good care of you lady, have no fear, oh
So I wanna know

I wanna know what turns you on
(I wanna know)
So I can be all that and more
(And I'd like to know)
I'd like to know what makes you cry
(Oh yea)
So I can be the one who always makes you smile

Oh tell me, tell me
Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I'll do
'Cause I only wanna make you happy
From the bottom of my heart, it's true

Tell me what I gotta do to please you
Baby anything you say I'll do
'Cause I only wanna make you happy
From the bottom of my heart, it's true
Yeah yeah yeah yeah

I wanna know what turns you on
(I'd like to know, I'd like to know, yea)
So I can be all that and more
(I wanna know)
I'd like to know what makes you cry
(So)
So I can be the one who always makes you smile
(I'd like to know, I wanna know)
I wanna know what turns you on
(Tell me girl) :poa

Kumtongoza Mzungu kazi kweli kuliko kumtongoza Mwanamke wa afrika.

MziziMkavu umbebadili avatar????
Wimbo wa kutongoza, avatar mpya...
Kweli naona umekaa mkao wa kula sasa!
 
MziziMkavu umbebadili avatar????
Wimbo wa kutongoza, avatar mpya...
Kweli naona umekaa mkao wa kula sasa!
Nifanyeje Mwaka Mpya mambo mapya mchumba mpya,mpenzi mpya , mke mpya kila kitu kipya Ujana una raha zake uhai una raha zake nitampata wa kula nae kwa raha zangu .......
 
Mh mi nilijikutaga niko In love hata bila kutumia wimbo wowote...kifupi NILIPENDWA so sikutongoza hadi leo sijui kutongoza
 
Back
Top Bottom