Pisi kali
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,215
- 2,418
Nianze kwa kumshukuru Mungu hadi kufika hapa.
Kesho ni 40 ya kifo cha mwanangu my boy, tangu kufariki my first child my queen rest well my angel lakini nimepata tena a health baby boy na kesho ndio 40 yake. Karibuni sanaaaaaaaa location Mwanza
Niko na furaha ee Mungu umejua kunifuta machozi nilindie kipenzi changu malaika wako. Safari yangu as usual ilikua ya furaha sana na uoga ndani yake.
Furaha niliyonayo I cant explain it. Tukifisha 6months nahitaji kupata mapacha kwa uwezo wa Allah yeyote anayefahamu jinsi ya kupata twins.
Nawaombea wote wenye uhitaji Mungu awabariki mpakate na nyinyi.
Mungu atukuzie