Mimi ulidukuliwa, halafu nikapigwa mikwara na matusi !Kwa kweli. Mimi mtu hawezi kunifanyia hivi akabaki salama
Acha tu mkuu we cheka tu.... Niliuguza vidonda wiki mbiliNimecheeekaa ! Kama Messi ....View attachment 1093922
Angemgongelea mbalii ![emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]Pole ila huyo jamaa alikua kiboko simu tu anataka kuua mtu,
je ingekua gari?
duuh jamaa ako alijikaza sanaa[emoji23][emoji23][emoji119]
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.Hahahahahahahah kwakweli mimi vituko vingi nishapitia na naona kabisa nikikaa kwa ndoa nitatulia sababu hakuna kipya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Alizinguaa kukudhalilisha huko.. Kudate na kitotoo afu kikaanza kukuletea dharauAlikua ana makosa
Halafu before alishakiri haitotokea tena
Afu alikua anacheat na katoto kadogo
Kakachukua namba kakawa kananipigia simu
Nikakausha nikaotea simu ya jamaa akawa anakana na hapo nimeshika simu na txt na picha naziona
Ile anataka kuninyang'anya simu nikaivurumisha ukutani..
Atakuchoma kisu umelala au??[emoji23][emoji23][emoji23]Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Angemgongelea mbalii ![emoji16][emoji3][emoji3][emoji3]
Mie mke wangu ananitishiaga nikim'piga atanivizia nimelaa ndo tumalizane ! Aiseeh naogopa sijawahi mpiga.
Ila nimegundua hapendi uke wenza, namtishiaga naenda kuoa, anakonda kabisa mpaka kula anashindwa.
Mm nishavunjiwa na wife
Kama unaoa makalio wala si tabia ni kawaida sana kwako lkn usitujimuishe Me tuliojaliwa Ke zenye maadili bora.Kwenye ndoa zetu hizi za digital mbona ni mambo ya kawaida kwa sasa...ila mchepuko ukivunja hapo ndio mwisho wa kuniona...[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Kongole kwa ex wako , huyo ndo kidume , hivi wanawake unapata guts wapi za kuvunja simu ya mwanaume ?Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Alokujumuisha nani sasa? Kumbe mliooa makalio mnajijuaKama unaoa makalio wala si tabia ni kawaida sana kwako lkn usitujimuishe Me tuliojaliwa Ke zenye maadili bora.
sawa, kwanini akubali simu ivunjwe...?Hapana mkuu[emoji23][emoji23]
Yeah hii ni roho ya kikatili, kisasi na kiume... Mumeo kaingia jumba bovu hapa.Hahahaaaa unaona mchezo ulivo mtamu sasa???!!haiwezekani uniumize afu mi niumize simu yako lazma nkuumize wewe tu....tena nikikufuma heri ujishushe unibebishe unidanganye na vi outing plus vihela ukinitunia ndio unaharibu
Anamvunja mkwe!Umenikumbusha bwana mmoja Sinza,mwanae wa kike alitiwa mimba na mhuni tu mcheza viduku,muhhuni akajifanya kukimbia,jamaa akamtafuta kimyakimya akapamta,alimpiga risasi akamvunja mkono.
Haahahahhaha huyo dada ana hasira kama zangu...... Niliwahi kukuta meseji kama hivyo kipindi simu yake x wangu ina week mbili tu toka anunue niliishika nikabamiza chini vunja vunja mpaka nilihakikisha haitengenezeki..... Kilichofuata ni kipigo cha mbwa koko nusu nife sirudii tena mimi kushika simu ya mtu na kuvunja Ile siku angeniua dah nilibadilika rangi mwili wote nikawa mwekunduuu jamani wadada tusifanye hii michezo ya kuvunjiana simu
Baby