Nilidanganywa kusoma PGM nitakuwa rubani, leo hii mpishi kwa Mhindi

Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044View attachment 1551198
Form six aliyefeli ni form four aliyefaulu. Sasa kama Six ulipataka mziro wako au mfoo uliopevuka ulitaka uendeshe ndege ya nani...

Afadhali hizo sufuria unazoendesha hapo kwa muhindi zikigongana kelele zake zinakuumiza mwenyewe.

Kalia matako sio akili.
 
Umenichekesha mkuu japo mm ni muhanga wa exposure ya kuapply course kwa usahihi na mimi nilisoma apo apo PCM!sijafika niendako ila sipo nilipokua miaka hiyo
 
Poleeeeeh sanaaah, maisha lazima yaendelee.
Mi naona PGM waifute tu sa kama watu wanaishia kuwa ma engineer Kama walio soma PCM sioni ulazima wa kuwepo hyo combination

Maana hata serikali haina mkopo wake wengi wanaisoma hyo kozi wanajiweza familia nyumbani wanajiweza kiuchumi na wengi wanaanzia kusoma diploma yake

Naskia ipo alternative yakufikia uruban kuanzia diploma ila sina uhakika kama ni kweli
 
PGM haiwezi futwa kamwee, km ilivyo CBG,
unajua PGM ni somo gumu sana tena mno, na wengi wanaosoma hiyo comb wana ndoto za kuwa , ila mfumo wa uwezeshwaji ktk suala haliko ludufu, ndo maana wengi wanaishia kuwa .

Kuhusu urubani kuanzia Dp na mie nasikia tyuuh, ila sina uhakika juu ya hilo.
Ila usikate tamaa pambana na maisha uliyopo nayo sasa.
 
Wakati nasoma A-level, Mkwawa High School (1999-2001) ulipita uvumi kuwa tunaosoma PGM tunaandaliwa kuwa marubani lakini leo hii ninafanya kibarua kama mpishi kwa Mhindi Masaki. Kwa mshahara wa 250,000/= kwa mwezi

Aisee elimu hii ovyo sana.
View attachment 1274044View attachment 1551198
Hongera kwa kupata ajira wenzako hata hela ya kununua sabuni hawana na wamemaliza degree pale jalalani.
 
Uliintergrate zero nini? Joke

Pole sana kwa kuukosa urubani Wa bombadia endelea kuwa rubani Wa msosi. Nami nilikuwa na ndoto kama zako japo sijaenda mbali sana Mimi ni rubani Wa kuku, bata na ndege wengine wafugwao..kutoka kutaka kuwa rubani Wa drimlaina mpaka rubani Wa Kuku nimehustle!
Ahhahah atakua alidifferentiate constant huyu mkuu
 
Back
Top Bottom