Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Mkuu Isevya huko nilikuwa napita tu kuna rafiki yangu alikuwa anaishi Kanyenye ila sijawahi kutembelea sana,kuna warembo huo mtaa?
Wapo. Natafuta mwingine mkali naye nimtafutie room sehemu akinizungua tu napasua pasua ... Kila kitu. Room nalipia miezi miwili tu.
 
Wanaume Huwa Tunajisahau Sana. Huwa Tunachukulia Michepuko kama Wake zetu. Mie nishajifunza. Wewe umelikuta Barabarani Janamke kama Hilo kwa Haraka haraka tu Limeshakuambia Sijui limeachika na Mmewe kisa Eti ni mlevi. Halafu Lenyewe umelikuta Linakunywa bia pia, ukajichomeka Moyo na Roho na Ukalipangisha na Kununua Hadi Vitu vya Ndani. Wanaume Sometimes sisi Ni Wapumbavu sana Tukishavuliwaga Nguo na Mwanamke
 
Hujawajua vizuri wahuni wa Tabora wewe ngoja wakukate miguu yako ndio utatia akili,umeenda kujifunzia mahali pabaya
Mi mhuni Mbaya .....🤣🤣🤣🤣shukuru tu napenda kuwa hivi bwege. Tabora hamna mhuni... Nimekaa Arusha,Mara,Mbeya,Dar,Nairobi... Tabora hamna wahuni.
 
Halafu huwa wanalalamika kuwa sisi wanaume wabaya kumbe ubaya wanauanza wenyewe. Sasa anapiga simu na kutuma texts kila wakati kuwa nimsamehe kwa kuwa yule alikuwa mtu wake wa kitambo. So akawa hana namna. Hata kumjibu najisikia uvivu.
Yaani Ukirudi ukapiga Tu Kwisha. Unakuta Ushawekewa na Mambo yao ya Kiswazi. Kimbia kabisa
 
Mi mhuni Mbaya .....shukuru tu napenda kuwa hivi bwege. Tabora hamna mhuni... Nimekaa Arusha,Mara,Mbeya,Dar,Nairobi... Tabora hamna wahuni.
Weekend hii ntakuwa Tabora.Ni kweli Tabora hakuna uhuni wa kuogofya.Pia kuna totoz daraja la kati kwenye maeneo ya starehe kulingana na taarifa ya mnywaji mwenzangu.
Napenda sana kusikiliza na kucheza nyimbo za zamani za band pale oksijeni.
 
Weekend hii ntakuwa Tabora.Ni kweli Tabora hakuna uhuni wa kuogofya.Pia kuna totoz daraja la kati kwenye maeneo ya starehe kulingana na taarifa ya mnywaji mwenzangu.
Napenda sana kusikiliza na kucheza nyimbo za zamani za band pale oksijeni.
Wewe unajua kuwa kule Tabora ndio chimbuko la majambazi na wezi sugu?
 
Sorry, ila kweli una ushamba flani wa kisukuma sukuma hivi

Unaenda mahali tena Boss mzima humfahamu vizuri manzi, hujamchunguza hata kidogo tayari unamkodia chumba & full furnished, kama ni Malaya na umezidiwa si ungemalizana nae lodge huko?

Unapasua TV ndio ilikutuma umtafute huyo Malaya?

SWALI : Mfano huyo Malaya angekupasulia chupa ya bia kichwani au huyo jamaa uliyemkuta ndani angechukua tu kisu akuchome kwa kujihami, je wenzako na jamii ingekuonaje?

Think Beyond.
 

Similar Discussions

56 Reactions
Reply
Back
Top Bottom