Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Duh wale watu sio kabisa
Hio Tabora ina vituko halafu inaonekana wanapenda sana kwa mpalange,mwezi wa 5 nilikuwepo huko ss kuna dem kabla ya hapo nilikuwa nawasiliana nae instagram,siku ya nikamwambia nakuja huko akaniambia poa nikifika yy ndio atakuwa mwenyeji wangu,nikiwa njian nikawa nawasiliana nae kila kituo ninachofika,basi akanitumia text eti ameshanga kuona siku zake ghafla,nikamuuliza ss tutafanyaje kama tuonane siku nyingine,alichonijibu kilinifikirisha sana,aliniambia ww njoo usijali ss ni watu wazima hatutakosa namna nyingine ya kufanya,man niliwaza njia nzima leo ndio naenda kupewa kwa mpalange bila kupenda,ilibid nimkumbuke yule mshikaji mwenye kisa chake humu kuwa hataisahau Kanyenye Tabora
 
Aaargh.... Acha tukose wote. Mi sina tatizo. Atapata mtu mwingine wa kumgharamikia kuvununua. Ananipigia simu sana akitaka nimsamehe nirudiane naye amekosa.

Anatuma texts kila baada ya muda mfupi.... Wenzake wananitafuta wakisema niwe nao.....yaani mwenzake ananambia bila woga....shem njoo basi nikupunguze hasira na mawazo....sina hamu nao kabisa....
Na masofa uliyafyekelea mbali? Au ulimuonea huruma tu ukayaacha salama!
 
Kuna thread ipo humu jamaa anasema "hataisahau Kanyenye Tabora" jamaa anasema alikula mama na wanawe cha kusikitisha na kufurahisha baada ya mama kugundua mshikaji anakula wanawe siku mama mtu amekutana na jamaa kwa hasira mama akampa mshikaji tigo ili kuwakomoa wanae
we fala nimecheka kiboya sana.
 
Duuh yani kabisa huyu mhusika wa kwenye hii story yako alitegemea awe peke yake kwa huyo mwanamke.

Hii hadithi inatufundisha kua tusiamini watu mapema.
Kwa Taborana miji mingine ya waswahili, hiyo siyo hadithi.

Kukutana na mwanamke bar, halafu kirahisi tu unampangishia nyumba ili ummiliki!

Kitu wasichoelewa vijana ni kuwa, kila ridhiki unayojaliwa leo na Mwenyezi Mungu ni fursa ambayo hairudi, haupaswi kuitapanya na kufanyia kufuru za namna hiyo(kununua samani na kuziharibu).

Ingawa starehe kwa kijana haikatazwi, lakini lazima ifanywe kwa akili pia.

Vitu vyote hivyo vya thamani alivyo msheheni malaya,wawezakuta hawezi kufanya mema kama hayo hata kwa ndugu ama mamake mzazi!

Akifukuzwa ama kukumbana na mabadiliko ya kimaslahi, ndiyo huanza kuwaza kwa kujuta, wakati huo hana lolote la maana alilojiandalia maishani mwake.
 
Mkuu pole sana.
Kuna jamaa kwenye uzi fulani aligusia kidogo kuwa watu wa tabora wamemtenda vibaya japo hakuweka wazi wamemfanya nini,sasa nilivyouona huu uzi nikajua ni yule jamaa kumbe sio wewe.
Kiufupi watu wa Tabora ndio wapo hivyo mkuu walishawahi kunitenda pia.

Ni watu wa tamaa sana na kupenda mteremko hii huwafanya kuangukia kwenye utapeli.
Na ubaya wa watu wa tabora wamekaa kinafki yaani muonekano wao na mambo wanayoyafanya ni tofauti kabisa,hii inakufanya ushindwe kutofautisha nani ni malaya na nani ni tapeli hadi ukishapigwa ndio utashtuka.
Tabora sio kabisa nmewahi nusurika kuuawa kisa limalaya

Sent from my vivo 2015 using JamiiForums mobile app
 
Kuna mshikaji anaitwa Abubakari.

Alichaguliwaga form one pale Tabora Boys. Akapata demu wa pale Ng'ambo pemben ya mlima Kazehill.

Haikupita miezi mitatu akahamia kwa binti na shule akawa haji. Headmaster alimfuata na gari la shule kwenda kumbembeleza arudi shule, mshikaji akagoma hata kutoka ndani.

Mwisho wa siku alifukuzwa shule kwa kosa la kujihusisha na mapenzi.
Form one? aliwahi sana jaman kuanza mambo ya kikubwa
 
Nmeonesha tu kuwa kupanga ni kuchagua. Mama yako kuna watu walimla bure. Lakini amekuja lipiwa mahari na baba yako ndo kaoa. So kupanga ni kuchagua. Na kuna ambao walimpa zawadi mama yako....ila hawakumuoa...😂😂😂😂 so yu dont need to feel hurt for my money and my action. Just deal with your miserable life. I use my money the way i want..... Kama nmeliwa ni zangu. Sababu hata wewe nanii yako aliliwa wengine bure wengine walimuhonga.... Leo na wewe ukazaliwa.😂😂😂😂😂
Basi kama ni hivyo hukupaswa kutuletea huu utumbo humu. ungetulia kimya sindano ya tabora ikuingie kimya kimya.
kutuletea humu ni kuonyesha udhaifu mkubwa kama mwanaume alafu unaambiwa ukweli unamind nini sasa
 
Huyo jamaa sijui ni msukuma wa wapi sijui.
Ameleta uzi humu watu wanamfundisha ili siku nyingine awe mjanja analeta ujuaji usio na maana na matusi ya ajabu halafu eti anajiita bosi.
Hivi kampuni yenye kujielewa inaweza kumpa ubosi pimbi kama yule.
Ukimkabidhi ofisi ukamwamini si ataifilisi kampuni maana hajitambui hata watu wakija kwa ugia ya utapeli na biashara fake litatoa pesa halafu baadae litaanza kujitetea kampuni ina hela nyingi hakuna wasiwasi.
 
Unajisifu kufanya uzinzi na uasherati? Eti una pesa, so ukiwa na pesa ndiyo tiketi ya zinaa hovyo hovyo?

Ndugu, mwogope MUNGU, mheshimu MUNGU, hayo maisha unayoishi yanamwisho wake. Usisubiri huo mwisho ufike, ikimbie zinaa
 
Kwa nini wewe unaumia kwa pesa yangu?😁 Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat...😂
 
Unajisifu kufanya uzinzi na uasherati? Eti una pesa, so ukiwa na pesa ndiyo tiketi ya zinaa hovyo hovyo?

Ndugu, mwogope MUNGU, mheshimu MUNGU, hayo maisha unayoishi yanamwisho wake. Usisubiri huo mwisho ufike, ikimbie zinaa
Ila bin dharura....
 
Kwa Taborana miji mingine ya waswahili, hiyo siyo hadithi.

Kukutana na mwanamke bar, halafu kirahisi tu unampangishia nyumba ili ummiliki!

Kitu wasichoelewa vijana ni kuwa, kila ridhiki unayojaliwa leo na Mwenyezi Mungu ni fursa ambayo hairudi, haupaswi kuitapanya na kufanyia kufuru za namna hiyo(kununua samani na kuziharibu).

Ingawa starehe kwa kijana haikatazwi, lakini lazima ifanywe kwa akili pia.

Vitu vyote hivyo vya thamani alivyo msheheni malaya,wawezakuta hawezi kufanya mema kama hayo hata kwa ndugu ama mamake mzazi!

Akifukuzwa ama kukumbana na mabadiliko ya kimaslahi, ndiyo huanza kuwaza kwa kujuta, wakati huo hana lolote la maana alilojiandalia maishani mwake.
Mimi naweza kaa miaka 50 bila kufanya kazi na pesa ikawa inaingia tu na kama una dada au wewe mwenyewe pia nikakuoa.... Maisha ni rahisi tu....msi complicate sana. Hatufanani. We umeshaolewa? Dadizo je?
 
nini wewe unaumia kwa pesa yangu?😁 Ulitaka nikupangishie wewe? Sometimes its better to mind your own business ...take your shit advice and shove it up your as*. Pesa yangu,ubwege wangu,kuibiwa nimeibiwa mimi,uzi wangu,nmeandika mimi.... Wewe tu unaumia for nothing ambacho kinakuhusu. Bas njoo wewe pia nikulipie halafu uni cheat...😂

Huyo jamaa sijui ni msukuma wa wapi sijui.
Ameleta uzi humu watu wanamfundisha ili siku nyingine awe mjanja analeta ujuaji usio na maana na matusi ya ajabu halafu eti anajiita bosi.
Hivi kampuni yenye kujielewa inaweza kumpa ubosi pimbi kama yule.
Ukimkabidhi ofisi ukamwamini si ataifilisi kampuni maana hajitambui hata watu wakija kwa ugia ya utapeli na biashara fake litatoa pesa halafu baadae litaanza kujitetea kampuni ina hela nyingi hakuna wasiwasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom