Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Nilichomfanya Mama Mkwe nadhani hatokisahau kwa muda mrefu

Wee jamaa akili zako unaziweza mwenyewe, kuna tetesi kuwa ktk familia yenu wewe ndio walau wazazi wanajigamba wana mtoto wao jembe.
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duu
 
Mkuu still sio sawa Mama anabakia kua Mama, inamaana ilishindikana hila yoyote yakufanya? au tuseme hapo ndio mwisho wa kufikiri nini kifanyike? huenda ikawa sawa kwa wengine ila kwa upeo wangu mimi sio sawa.
Hakuna anayekataa kuwa mama atabakia kuwa mama, tuanzie hapo kama ni kweli unaanzaje kupiga simu kwa mwanao usiku kweli ? Hata dada yangu tu hawezi piga simu usiku eti kupiga story kweli? Hama hana malezi mazuri mtoto na mama yake hao ndiyo wale hawachelewi kuomba omba vihela kwa wakwe laa aibu sana hiyo
 
Nasubiria part two kabla haijaenda kwa Shigongo
 
Dah kwa hili mi ckuafiki mkuu ungetumia njia nyngne maana hii Umemfanya huyo mama amtafsiri vibaya mwanae maana hta ungemwambia Mkeo amueleze bado angemuelewa tu....
 
Majitu mazima kudanganya is really SHAME!

Hovyo sana...

Im part of the problem by just clicking it....

Hata kama ni kufurahisha,huwezi kudanganya kiasi hiki au useme kabisa hii ni "stori ya kutunga"...!
Huyu jamaa anapenda vistori vya kutungatunga hlf hawa wa fesibuku hawajamjulia bado kuwa ni muuza chai tu humu asiye na maana

Kula like kwanza kwa reply yako
Jf ya siku hizi is no longer the home of great thinker
 
Mara umepata demu mpemba mara umemtia nyege mama mkwe mara sijui nini hata sikuelewi mkuu
 
Kama watekaji wapo na wanawake hamna shida waniteke hata miaka kumi.niwe nakula,nakunywa na kupata K. Basi...hapo waniteke tu watakavyo na ninyi hata mkiambiwa kuwa mtapewa trillion 100 msinitafute.maana ntagoma kurudi uraiani.wacha tu nitekwe niwekwe chumba kimoja na wewe ....


Warudishe mo wetu wakupeleke wewe.
 
Tukubali kutokukubaliana. Mimi nmefanya hivi na wewe utafanya namna nyingine ikufaayo.

Dah kwa hili mi ckuafiki mkuu ungetumia njia nyngne maana hii Umemfanya huyo mama amtafsiri vibaya mwanae maana hta ungemwambia Mkeo amueleze bado angemuelewa tu....
 
Hali uliyo nayo ni kawaida kwa miezi mitatu ya mwanzoni na ile mitatu ya mwishoni.lamb sana limao au ndimu.pata mlo kamili na hakikisha unakuwa karibu na aliyekusababishia hali hiyo.usikose kliniki pia sister.

Huyu jamaa anapenda vistori vya kutungatunga hlf hawa wa fesibuku hawajamjulia bado kuwa ni muuza chai tu humu asiye na maana

Kula like kwanza kwa reply yako
Jf ya siku hizi is no longer the home of great thinker
 
Aisee.... Walimu wanapaswa kuongezewa mshahara. Wanafanya kazi kubwa sana na ktk mazingira magumu.

Mara umepata demu mpemba mara umemtia nyege mama mkwe mara sijui nini hata sikuelewi mkuu
 
Umenifurahisha sana kujua kuwa unatekeleza maagizo ya mtukufu rais ya kufyatua. Ngoja tuongeze madawati.
 
"wife namjulia maeneo ambayo waarabu wake wamelala. nikawaamsha..."
ungenichorea hata karamani kuwa rijali siku ukifika pita humu huku pale adui chalii
 
Back
Top Bottom