Nyaki v
Member
- May 13, 2017
- 91
- 52
Zanzibar tusharudi[emoji23][emoji23]Hahaha
Zanzibar tusharudi[emoji23][emoji23]Hahaha
Mkuu still sio sawa Mama anabakia kua Mama, inamaana ilishindikana hila yoyote yakufanya? au tuseme hapo ndio mwisho wa kufikiri nini kifanyike? huenda ikawa sawa kwa wengine ila kwa upeo wangu mimi sio sawa.Sasa mama anampigia vipi mtoto wakike mwenye mme usiku bila sababu ya msingi labda kuna dhalula nyumbani, sasa kama huyo hana adabu kabisa huyo au ndiyo wale wamama wa mjini kujifanya hamnazo
Mkuu still sio sawa Mama anabakia kua Mama, inamaana ilishindikana hila yoyote yakufanya? au tuseme hapo ndio mwisho wa kufikiri nini kifanyike? huenda ikawa sawa kwa wengine ila kwa upeo wangu mimi sio sawa.
ha ha ha.. mama mkwe alitaka kujenga mazoea mabaya