NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Mkuu sina ulazima wa kukulazimisha uniamini wala unielewe,ulicho kifahamu wewe kinatosha,siku njema.ungekuwa na mume hata hapa usingesema kitu .... ila inshallah unaweza kuja kupata mume.
Mkuu sina ulazima wa kukulazimisha uniamini wala unielewe,ulicho kifahamu wewe kinatosha,siku njema.ungekuwa na mume hata hapa usingesema kitu .... ila inshallah unaweza kuja kupata mume.
Inshallah kheir.ungekuwa na mume wa hivyo dada hata hapa usingesema kitu.... wewe acha sisi tunamuelewa muandishi. wwe tafuta mume wa ndoto zako. na kama ungekuwa naye haya uliyoandika usingeandika au kama unaye basi si vile unavyotaka kujinadi.
Kasie.... Upo dadaaaa! Ha ha ha.... Najua sarakasi zako huko.... Hala hala kitanda na chaga mama....
Hhahahahaha Gudume jamani, Kasie ni dada yako; imekuwaje ukajua sarakasi za dada yako hata ukampa angalizo la kitanda na chaga kuvunjika.......
Au ndo chabo...!!! hahahahahhahaaaa kakaaaa.....
Galadudu ndio Gudume mzee#Gudume
#General Galadudu
#GENTAMYCYNE
You just can't hate them!