Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

Nilichokiona ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mwanza leo

kuhusu kile kilimo mkuu
Nilikutania bwana, mie niko Mwanza! huoni hadi leo nimemuona Asha!
Ila kuhusu kile kilimo unaweza kuanzisha uzi jukwaa la wajasiriamali na biashara watakuja wajuzi wakupe maarifa na uzoefu wao
 
Sasa kwanini usiombe kumuona huyo mkuu wa mkoa ukamwambia haya mambo unayokuja kuyazungumza huku JF, kweli haya ndiyo maadili ya utumishi wa Umma?
Ushaambiwa wanamuogopa wote!
 
Kwahiyo wanaume wa Mwanza ndiyo waoga kiasi hicho?
Unatukanwa umeinama?
 
Yaani ndugu yangu, ungekuwepo ungejiuliza swali hili, "hivi ni ofisi ya serikali au nimefika bandarini kwa wabeba mizigo" mbaya zaidi alikuwa anatukana kwa sauti kubwa kiasi kwamba ofisi nyingi walikuwa wanamsikia, du! nilimhurumia yule kaka ambaye niliambiwa ni mfungwa wa kifungo cha nje.
ukiona hivyo huyo anaonekana yuko linked na boss humo, hawa viumbe kama ni boss, ukiwa na mahusiano nao, ni shiida sana wanajiona hata wafanyeje huwezi wafanya lolote kwani kuna mtu anamlinda mfano tu bash...
 
Relief Mirzska njoo huku uone jinsi watumishi wa umma wanavyotukana, kwenye ule uzi wako ulisema receptionist alikukwaza, njooo sasa ofisi ya RC Mwanza umkute Asha. hahahahahaahaha
Duh! mkuu mimi pia ningemuangalia tu lakini through the back door ningefanya kitu. Ila sasa umeamini kwamba nyie wanawake mna mashaka sana????
 
Kwahiyo wanaume wa Mwanza ndiyo waoga kiasi hicho?
Unatukanwa umeinama?
Aliyekuwa anatukanwa ni mfugwa wa kifungo cha nje. Wafungwa wa aina hii huwa wanapangiwa kufanya shughuli za usafi na nyingine kwenye majengo ya serikali. sasa sijui alifanya nini hadi Asha akawa ameitwa kwa Mkuu wa Mkoa, kwa hiyo Asha ndio alikuwa anamchamba
 
Nilikutania bwana, mie niko Mwanza! huoni hadi leo nimemuona Asha!
Ila kuhusu kile kilimo unaweza kuanzisha uzi jukwaa la wajasiriamali na biashara watakuja wajuzi wakupe maarifa na uzoefu wao
Leo ndio nimejua hapa kwamba upo rock city, mkuu umeniangusha.... kuna watu wanahitaji badhaa ile in tones
 
Aliyekuwa anatukanwa ni mfugwa wa kifungo cha nje. Wafungwa wa aina hii huwa wanapangiwa kufanya shughuli za usafi na nyingine kwenye majengo ya serikali. sasa sijui alifanya nini hadi Asha akawa ameitwa kwa Mkuu wa Mkoa, kwa hiyo Asha ndio alikuwa anamchamba
Labda akimaliza kifungo atamrudia
 
ukiona hivyo huyo anaonekana yuko linked na boss humo, hawa viumbe kama ni bosi ukiwa na mahusiano nao, ni shiida sana wanajiona hata wafanyeje huwezi wafanya lolote kwani kuna mtu anamlinda mfano tu bash...
Sidhani! ni basi Asha anajiamini kweli sijui kwanini! hahahahahah. Ashakumu si matusi lakini Asha mwenyewe hana mvuto kabisa, ni ka mama kembambaaaa hadi mishipa ya mwilini imechomoza, halafu amepaka mkorogo.
 
Dawa yake kumtandika vibao alfu unaenda kumwambia akaroge sasa

Huku na ww umewatayarisha mshana Jr na mzizi mkavu kumufanyizia
Mie sio mtumishi wa ofisi hiyo nilikuwa napita tu na shughuli zangu. hahahahahahaha.
 
Sidhani! ni basi Asha anajiamini kweli sijui kwanini! hahahahahah. Ashakumu si matusi lakini Asha mwenyewe hana mvuto kabisa, ni ka mama kembambaaaa hadi mishipa ya mwilini imechomoza, halafu amepaka mkorogo.
hujui siri ya mtungi mkuu, wewe unamuona mbaya anayemiliki anamuona malkia wa nguvu
 
Back
Top Bottom