Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,962
- 82,297
😃😃😃Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
😃😃😃Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
Kwahiyo unanishaurije mkuu??😃😃😃
Kuliko kuanza kukaa wiki tatu nasubiria mzigoo, halafu bei ni zile zile si Bora nichukue dar😃😃😃
Bado haujajua kutumia vizuri eBay.Mbona cost zao eBay zinataka kufanana na Tanzania Sasa maana shipping na mzigoo wenyewe inarudi Ile ile TU ya bongo🤣
Agiza kwa Ebay au Aliexpress hautojutaOkay so ni recommendable? Kuna bidhaa natamani kuagiza, ila sijapata app sahihi ya kutumia, kikuu walinicheleweshea bidhaa zangu nikakata tamaa kabisa ya kuagiza vitu online
Kuna watu wengi saana wanatamani kuagiza vitu ebay lakini wanakosa muongozo namna ya kuagiza mnaonaje wazoefu nkatoa muongozo japo kidgo tu.
Japo miongozo iliopo jf kama ni ya zamani kidgo na ukipitia pia kama ziko complicated saana
Nipo 🥺Kwani watu wa Posta wapo humu! 😳😳😳
Hapana, NMB hawakuungi na PayPal, ili kutumia PayPal inakutaka ufungue Account kabisa na P'word yako binafsi...wanachofanya NMB ni kukupa kadi maalum kwaajili ya manunuzi ya mtandaoniUkienda tawi lolote la nmb wanakuunga na kadi wanakupa
Hiyo usd 100 ni hadi umeipokea getoni mkuu??Bado haujajua kutumia vizuri eBay.
Pitia michango ya watu ujifunze.
Hivi karibuni nimetoka kununua PS4 Slim 1TB ikiwa na game pamoja na pad kwa USD 100.
Hauwezi amini, lakini wazungu eBay wanauza vitu kwa bei za ajabu sana.
Hapana.Hiyo usd 100 ni hadi umeipokea getoni mkuu??
Mkuu upo mkoa gani kwani?Ninachoona mimi mzigo ni afadhali upitie Posta ambayo iko nje ya mji wa Dar Es Salaam, nilipokuwa naagiza na mizigo ikipitia Dar Es Salaam ilikuwa ni lazima nilipie lakini tangu nimeanza kupitishia Posta ya huu mkoa ninaoishi sijawahi kulipia.
Vp wewe ni mtumishi wa Posta unataka ujue nilipo ili ufatilie!Mkuu upo mkoa gani kwani?
Kwahiyo makato ni kama nusu ya bei ya ( kununulia + shipping )..Niliwahi kuagiza speaker ndogo za ndani za Tv aisee wanikikata hela ndefu hadi nikashangaa, bei ya spika ilifika usd 25, lakini nilikatwa 5900 ya Posta, 18% ya kodi, clearing fee, jumla nilikatwa kama , 28/29000. Iliniuma sana. Then tudude twenyewe tudogo tu!!
Niliangalia kwenye muongozo!Kwahiyo makato ni kama nusu ya bei ya ( kununulia + shipping )..