GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,262
- Thread starter
- #21
hicho cha sidney sidhani kinaitwa hivyo ila nakumbuka kinazungumzia mtu aliyekuwa na multuple personalities. ambayo huku bongo tungesema ana mapepo. nilisoma zamani sana sikumbuki jina ila nakumbuka story yake kiasi. endelea kuulisha ubongo chakula .. usikae na vilaza watakuwa wanakulisha chakula kibaya katika ubongo wako. hongera sana.
me nakimbiza mbaya sidney sheldon nimesoma kitabu chake kiitwacho multiple personalities
Pia naendelea kutisha kwani kwa sasa namalizia ujamaa na kujitegemea cha hayati mwl. Jk Nyerere