Nilichokiona kwa huyu Bint Mdogo Mrembo kimenishangaza sana katika Ulimwengu huu wa Sasa

hicho cha sidney sidhani kinaitwa hivyo ila nakumbuka kinazungumzia mtu aliyekuwa na multuple personalities. ambayo huku bongo tungesema ana mapepo. nilisoma zamani sana sikumbuki jina ila nakumbuka story yake kiasi. endelea kuulisha ubongo chakula .. usikae na vilaza watakuwa wanakulisha chakula kibaya katika ubongo wako. hongera sana.

me nakimbiza mbaya sidney sheldon nimesoma kitabu chake kiitwacho multiple personalities

Pia naendelea kutisha kwani kwa sasa namalizia ujamaa na kujitegemea cha hayati mwl. Jk Nyerere
 
nimefurahi pia kuwa umesoma vitabu hivyo. of course watu wanaosoma hivyo vitabu ni nadra sana kuwakuta kwenye page za watu za udaku na ku follow watu wapuuzi puuzi. hivyo vyote nimesoma. soma pia the other side of the midnight. napenda wasichana wanaosoma novel na kuangalia movies au series za akili achana na hizi za kipuuzi puuzi.
Kiukweli vitabu vya Sydney vimekaa kitofauti...kind of romantic novels. Havichoshi na lugha yake ni very simple. Kwa mfano hicho cha naked face nilikisoma nikiwa olevel na I can tell you nilikielewa. Afu uzuri mwingine, jana nimeona maktaba ya taifa vipo hivi vitabu vya Sydney nilifurahi sana...! Jaman ambao hamuwez nunua, kasome someni hata pale maktaba ya taifa vipo. Mi soon nitaanza tena kusoma novels.
 
Ukimvalisha bikini huyo binti utakuta nae ana nundu km sanchoka,ila basi tu kachagua alipopenda
 
Mi nshasoma vitabu vingi sana, nna library yangu kwenye simu Media 365. Napenda sana kusoma vitabu, jana nmemaliza kusoma novel ya Nichalas Sparks inaitwa A Walk to Remember. Na vitabu vingi navitoa pirate bay
 
Meaniwhile wengine guess what's our biggest asset?! Hahaa of course it's our ass.
We dont need a brain as long as that ass wiggles. So shamefull..
 
Wengine wanasoma vitabu kwenye iPad,Kindle,simu etc ndio maana huwaoni unadhani wote wanasoma udaku. Ingawa usomaji vitabu kwa nchi yetu uko chini sana.
It's true. Wengi tunasoma kwa njia ya simu. Mswahili akikuona anajua unasoma umbea kumbe unakula nondo
 
Mangwini ndo zenu kusoma hiyo mi novel yenye ideologies za hovyo hovyo. Kuna watu either mna muda mwingi wa kupoteza au IQ zenu zipo chini sana kuweza ku concentrate kwenye mambo ya msingi
 
Leo nimeshtushwa sana baada ya kumkuta binti mmoja mrembo amevaa kwa heshima ametulia sehemu anasoma kitabu cha Danielle Steel. Ni zaidi ya miaka 15 sikuwahi ona mtu wa age yake akiwa amekaa anasoma kitabu wakati akisubiria huduma sehemu.

nilifika ofisi moja Mjini kuonana na Jamaa yangu. nikiwa nasubiria huyo mhusika amalizane na mgeni aliye naye ndani katika kutembeza macho sehemu kuangalia tuliopo mapokezi nikiwa nimekaa. mbele yangu nlimwona binti huyu mzuri akiwa ameshika kitabu cha Danielle Steel. kilichonishangaza zaid ni utulivu na nidhamu ya hali ya juu aliyokuwa nayo.niliinuka na kumfuata.taratibu akainua macho yake na kunitizama.akaniamkia kwa heshima.niliitikia na moja kwa moja nikapeleka mkono wangu kukishika kitabu chake pasipo kumwambia neno.

hakufanya hiyana kwa kujiamini kabisa akanichia nichukue kile kitabu.,nikakisoma "Danielle Steel" kwa sauti.
"siamini kama leo hii namwona binti katika umri wako anasoma kitabu kama hiki" nlitamka nikiwa katikati ya mshangao na furaha. alitasabamu kwa aibu akiziba mdomo yake... (moyoni nikawaza "this girl is pretty and smart") niliongea naye sana yule binti nikafahamu ameshasoma vitabu 8 vya Danielle Steele na Pia Sidney Sheldon.

Katika tu maongezi nligundua the girl is bright and confident. Mungu kampendelea kumpa uzuri,akili na heshima.nlitamani yule mdogo wangu brother man asingekuwa heart breaker aje aoe msichana huyu.

Nmeshangazwa kizazi cha Dot Com kusoma novel kubwa kubwa kama za akina Danielle Steel ,Sidney Sheldon n.k alichonichosha zaidi aliponambia kuwa hicho kitabu amenunua tsh 19,000 kwa pesa yake mwenyewe.kama ambavyo alinunua na vingine 4 alivyo navyo.

Haraka akili yangu ikahama nikaanza kufikiria wakati kuna wanawake wanajinadi wanavyojua kukata kiuno na styles mbalimbali za sex.kuna wanawake smart wapo wanaishi nao duania hii hii? Kweli the world isnt fair
Ume share story nzuri ya yenye mafunzo. Tanzania kusoma vitabu imekuwa kama ni kosa lenye adhabu ya kifo. Popote unapokutana na msichana kama huyo uliyesema utakuta yupo pages za Insta na facebook.... Matokeo yake wanalishwa ujinga na hawa wadangaji wa Bongo wanaojiita ''celebrities'' kama kina Wema.
 
hicho cha sidney sidhani kinaitwa hivyo ila nakumbuka kinazungumzia mtu aliyekuwa na multuple personalities. ambayo huku bongo tungesema ana mapepo. nilisoma zamani sana sikumbuki jina ila nakumbuka story yake kiasi. endelea kuulisha ubongo chakula .. usikae na vilaza watakuwa wanakulisha chakula kibaya katika ubongo wako. hongera sana.
Nadhani kinaitwa Tell Me Your Dreams

Kingine kizuri cha Sheldon ni The Sands of Time kinazungumzia harakati za waasi wa Hispania enzi za Dikteta Franco
 
thats good. i am sure hata uwezo wako wa kufikiri wont be the same na mtu anayejiita team X.
Mi nshasoma vitabu vingi sana, nna library yangu kwenye simu Media 365. Napenda sana kusoma vitabu, jana nmemaliza kusoma novel ya Nichalas Sparks inaitwa A Walk to Remember. Na vitabu vingi navitoa pirate bay
 
Back
Top Bottom