Nadhani kinaitwa Tell Me Your Dreams
Kingine kizuri cha Sheldon ni The Sands of Time kinazungumzia harakati za waasi wa Hispania enzi za Dikteta Franco
hicho cha sidney sidhani kinaitwa hivyo ila nakumbuka kinazungumzia mtu aliyekuwa na multuple personalities. ambayo huku bongo tungesema ana mapepo. nilisoma zamani sana sikumbuki jina ila nakumbuka story yake kiasi. endelea kuulisha ubongo chakula .. usikae na vilaza watakuwa wanakulisha chakula kibaya katika ubongo wako. hongera sana.
Nimesoma the other side of me na if tomorrow comes vyote vya Sidney SheldonBasi na mi niko smart maana nimesoma vitabu viwili vya Sidney Sheldon (tell me your dream, kingine kama sikosei kinaitwa the naked face)...
Nimesoma the other side of me na if tomorrow comes vyote vya Sidney Sheldon
Tulia weweee mlugalugaNi mbinu za kisasa za kukamata mijanaume nyinyi....mjini hapa...
general umeokoka siku hizi?Mi najisomeaga vitabu vya wazalendo wenzangu kina Beka Mfaume, Hussein Tuwa, Richard Mwambe na wengineo wa hapa nchini wanaoandika vya kiswahili tu
Ww mbwisye kweli ww....osha vyombo..ukimaliza piga deki...Tulia weweee mlugaluga
Mimi bado ni yule yule #GeneralGaladudugeneral umeokoka siku hizi?
Mimi bado ni yule yule #GeneralGaladudu
majukumu yanabana mkuu, huwa naingia humu mara moja moja sanamikasa yako ilikuwa inafurahisha sana.
nimekumbuka mikasa ya chopwincho.majukumu yanabana mkuu, huwa naingia humu mara moja moja sana
nimekumbuka mikasa ya chopwincho.
Stori za gudume na mademu ktk ubora wakeLeo nimeshtushwa sana baada ya kumkuta binti mmoja mrembo amevaa kwa heshima ametulia sehemu anasoma kitabu cha Danielle Steel. Ni zaidi ya miaka 15 sikuwahi ona mtu wa age yake akiwa amekaa anasoma kitabu wakati akisubiria huduma sehemu.
nilifika ofisi moja Mjini kuonana na Jamaa yangu. nikiwa nasubiria huyo mhusika amalizane na mgeni aliye naye ndani katika kutembeza macho sehemu kuangalia tuliopo mapokezi nikiwa nimekaa. mbele yangu nlimwona binti huyu mzuri akiwa ameshika kitabu cha Danielle Steel. kilichonishangaza zaid ni utulivu na nidhamu ya hali ya juu aliyokuwa nayo.niliinuka na kumfuata.taratibu akainua macho yake na kunitizama.akaniamkia kwa heshima.niliitikia na moja kwa moja nikapeleka mkono wangu kukishika kitabu chake pasipo kumwambia neno.
hakufanya hiyana kwa kujiamini kabisa akanichia nichukue kile kitabu.,nikakisoma "Danielle Steel" kwa sauti.
"siamini kama leo hii namwona binti katika umri wako anasoma kitabu kama hiki" nlitamka nikiwa katikati ya mshangao na furaha. alitasabamu kwa aibu akiziba mdomo yake... (moyoni nikawaza "this girl is pretty and smart") niliongea naye sana yule binti nikafahamu ameshasoma vitabu 8 vya Danielle Steele na Pia Sidney Sheldon.
Katika tu maongezi nligundua the girl is bright and confident. Mungu kampendelea kumpa uzuri,akili na heshima.nlitamani yule mdogo wangu brother man asingekuwa heart breaker aje aoe msichana huyu.
Nmeshangazwa kizazi cha Dot Com kusoma novel kubwa kubwa kama za akina Danielle Steel ,Sidney Sheldon n.k alichonichosha zaidi aliponambia kuwa hicho kitabu amenunua tsh 19,000 kwa pesa yake mwenyewe.kama ambavyo alinunua na vingine 4 alivyo navyo.
Haraka akili yangu ikahama nikaanza kufikiria wakati kuna wanawake wanajinadi wanavyojua kukata kiuno na styles mbalimbali za sex.kuna wanawake smart wapo wanaishi nao duania hii hii? Kweli the world isnt fair