Nilichokiona kwa huyu Bint Mdogo Mrembo kimenishangaza sana katika Ulimwengu huu wa Sasa

GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,771
Likes
9,845
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,771 9,845 280
Leo nimeshtushwa sana baada ya kumkuta binti mmoja mrembo amevaa kwa heshima ametulia sehemu anasoma kitabu cha Danielle Steel. Ni zaidi ya miaka 15 sikuwahi ona mtu wa age yake akiwa amekaa anasoma kitabu wakati akisubiria huduma sehemu.

nilifika ofisi moja Mjini kuonana na Jamaa yangu. nikiwa nasubiria huyo mhusika amalizane na mgeni aliye naye ndani katika kutembeza macho sehemu kuangalia tuliopo mapokezi nikiwa nimekaa. mbele yangu nlimwona binti huyu mzuri akiwa ameshika kitabu cha Danielle Steel. kilichonishangaza zaid ni utulivu na nidhamu ya hali ya juu aliyokuwa nayo.niliinuka na kumfuata.taratibu akainua macho yake na kunitizama.akaniamkia kwa heshima.niliitikia na moja kwa moja nikapeleka mkono wangu kukishika kitabu chake pasipo kumwambia neno.

hakufanya hiyana kwa kujiamini kabisa akanichia nichukue kile kitabu.,nikakisoma "Danielle Steel" kwa sauti.
"siamini kama leo hii namwona binti katika umri wako anasoma kitabu kama hiki" nlitamka nikiwa katikati ya mshangao na furaha. alitasabamu kwa aibu akiziba mdomo yake... (moyoni nikawaza "this girl is pretty and smart") niliongea naye sana yule binti nikafahamu ameshasoma vitabu 8 vya Danielle Steele na Pia Sidney Sheldon.

Katika tu maongezi nligundua the girl is bright and confident. Mungu kampendelea kumpa uzuri,akili na heshima.nlitamani yule mdogo wangu brother man asingekuwa heart breaker aje aoe msichana huyu.

Nmeshangazwa kizazi cha Dot Com kusoma novel kubwa kubwa kama za akina Danielle Steel ,Sidney Sheldon n.k alichonichosha zaidi aliponambia kuwa hicho kitabu amenunua tsh 19,000 kwa pesa yake mwenyewe.kama ambavyo alinunua na vingine 4 alivyo navyo.

Haraka akili yangu ikahama nikaanza kufikiria wakati kuna wanawake wanajinadi wanavyojua kukata kiuno na styles mbalimbali za sex.kuna wanawake smart wapo wanaishi nao duania hii hii? Kweli the world isnt fair
 
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
986
Likes
1,171
Points
180
Two dimension array

Two dimension array

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2018
986 1,171 180
Kuna demu nimemuona Jana millard ayo anahojiwa kama graduate kameshika iPhone 2 total cost 5M sijui tu anamatumizi nazo gani .......simu zote usishangae anaishi kwa shangazi hata kiwanja hana
 
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
653
Likes
292
Points
80
cabo

cabo

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
653 292 80
Iyo ni 19elf au laki na tisini????
 
N

nanawoo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Messages
1,049
Likes
744
Points
280
N

nanawoo

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2015
1,049 744 280
Iyo ni 19elf au laki na tisini????
Elf kumi na tisa mkuu zote za note mi nilinunua elf 30000 elfu 30 za note nilipigwa kimtindo nilinunua pale samora ev karibu na TIB wajanja wameniumiza kumbe nilijiona bomba ya mjanja kumbe bint kapata chee
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,663
Likes
5,696
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,663 5,696 280
Mkuu hicho kitabu hakina picha ndani??
sio wote wasomaji wengine wanatazama pic
 
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Messages
7,663
Likes
5,696
Points
280
ras jeff kapita

ras jeff kapita

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2015
7,663 5,696 280
Mi mwenyewe Kuna siku nlimkuta mtt mmoja mkali pale Instabull mlimani city ametulia anapata espresso yake huku ameshika kitabu chake Cha 'Hawafu mwenye nguvu' kweli alinikonga nyoyo
Ni mbinu za kisasa za kukamata mijanaume nyinyi....mjini hapa...
 
Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2013
Messages
6,378
Likes
2,064
Points
280
Daudi1

Daudi1

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2013
6,378 2,064 280
Mi mwenyewe Kuna siku nlimkuta mtt mmoja mkali pale Instabull mlimani city ametulia anapata espresso yake huku ameshika kitabu chake Cha 'Hawafu mwenye nguvu' kweli alinikonga nyoyo
Hahahahahaha hatari sana, Mimi mmoja nishamuona ameshika kitabu cha shigongo "Raisi anampenda mke wangu "
 
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2015
Messages
7,992
Likes
13,247
Points
280
mshipa

mshipa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2015
7,992 13,247 280
Mi mwenyewe Kuna siku nlimkuta mtt mmoja mkali pale Instabull mlimani city ametulia anapata espresso yake huku ameshika kitabu chake Cha 'Hawafu mwenye nguvu' kweli alinikonga nyoyo
 
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Messages
18,365
Likes
40,695
Points
280
Da'Vinci

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined Dec 1, 2016
18,365 40,695 280
Huyu anafaa niiishi nae, ananifaa kabisa. Pal Fanya mambo nimpate..
 
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Messages
16,136
Likes
9,200
Points
280
stroke

stroke

JF-Expert Member
Joined Feb 17, 2012
16,136 9,200 280
Hivyo nakumbuka ndio vilikuwa vitabu vya warembo miaka ile tunasoma.
 
E

elfusifuri

Member
Joined
Jul 25, 2018
Messages
44
Likes
49
Points
25
E

elfusifuri

Member
Joined Jul 25, 2018
44 49 25
Hii habari nzuri, lkn naona kama umeikatisha. Ulichukua namba yake ya simu?
Leo nimeshtushwa sana baada ya kumkuta binti mmoja mrembo amevaa kwa heshima ametulia sehemu anasoma kitabu cha Danielle Steel. Ni zaidi ya miaka 15 sikuwahi ona mtu wa age yake akiwa amekaa anasoma kitabu wakati akisubiria huduma sehemu.

nilifika ofisi moja Mjini kuonana na Jamaa yangu. nikiwa nasubiria huyo mhusika amalizane na mgeni aliye naye ndani katika kutembeza macho sehemu kuangalia tuliopo mapokezi nikiwa nimekaa. mbele yangu nlimwona binti huyu mzuri akiwa ameshika kitabu cha Danielle Steel. kilichonishangaza zaid ni utulivu na nidhamu ya hali ya juu aliyokuwa nayo.niliinuka na kumfuata.taratibu akainua macho yake na kunitizama.akaniamkia kwa heshima.niliitikia na moja kwa moja nikapeleka mkono wangu kukishika kitabu chake pasipo kumwambia neno.

hakufanya hiyana kwa kujiamini kabisa akanichia nichukue kile kitabu.,nikakisoma "Danielle Steel" kwa sauti.
"siamini kama leo hii namwona binti katika umri wako anasoma kitabu kama hiki" nlitamka nikiwa katikati ya mshangao na furaha. alitasabamu kwa aibu akiziba mdomo yake... (moyoni nikawaza "this girl is pretty and smart") niliongea naye sana yule binti nikafahamu ameshasoma vitabu 8 vya Danielle Steele na Pia Sidney Sheldon.

Katika tu maongezi nligundua the girl is bright and confident. Mungu kampendelea kumpa uzuri,akili na heshima.nlitamani yule mdogo wangu brother man asingekuwa heart breaker aje aoe msichana huyu.

Nmeshangazwa kizazi cha Dot Com kusoma novel kubwa kubwa kama za akina Danielle Steel ,Sidney Sheldon n.k alichonichosha zaidi aliponambia kuwa hicho kitabu amenunua tsh 19,000 kwa pesa yake mwenyewe.kama ambavyo alinunua na vingine 4 alivyo navyo.

Haraka akili yangu ikahama nikaanza kufikiria wakati kuna wanawake wanajinadi wanavyojua kukata kiuno na styles mbalimbali za sex.kuna wanawake smart wapo wanaishi nao duania hii hii? Kweli the world isnt fair
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
5,771
Likes
9,845
Points
280
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
5,771 9,845 280
nimefurahi pia kuwa umesoma vitabu hivyo. of course watu wanaosoma hivyo vitabu ni nadra sana kuwakuta kwenye page za watu za udaku na ku follow watu wapuuzi puuzi. hivyo vyote nimesoma. soma pia the other side of the midnight. napenda wasichana wanaosoma novel na kuangalia movies au series za akili achana na hizi za kipuuzi puuzi.

Basi na mi niko smart maana nimesoma vitabu viwili vya Sidney Sheldon (tell me your dream, kingine kama sikosei kinaitwa the naked face)...
 
Forum statistics

Threads 1,237,089
Members 475,401
Posts 29,277,992