Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Ngoja nikwambie mkuu, tukiangalia takwimu za majiji arusha haina nguvu mkuu...arusha ni mkoa Wa pili kwa mapato ya kodi na mwanza ni ya nne, arusha ipo kat ya mikoa mitatu yenye ahueni ya uchumi na Mwanza ipo kt ya mikoa mitano yenye hali mbaya kiuchumi....sasa inakuwaje watu maskini wanapandisha mkoa mpaka namba nne kwa kodi? Hapo utagundua kuwa Mwanza city ndo inayochangia 98% ya makusanyo ya mkoa, arusha pale mjin kat hakuna kitu, tanzanite na tourism attraction ndo vinabeba ambavyo havipo pale mjini kat...ila vinaingizwa kwenye mapato ya mkoa, kuanzia tanzanite mpak mbuga za wanyama, kuna lodge nying tu nzur zpo nje ya mji na zingine mbugani...mkoa Wa mwnza hauna kingine zaid ya biashara inayofanyika mjini kat, per day watu takriban lak saba huingia na kutoka kwa ajil ya biashara...hakuna hotel ya maana nje ya jiji, makusanyo ya kodi ya mkoa yamebebwa na mji, Hvyo mji hautegemei wakazi Wa mkoa cjui umenielewa....

Unaongea empties hamna official report zinazokutetea yaani unafanya imagination alafu kibaya zaidi unatafsiri critical economic interpretation in such a very layman way

huwezi kutafsiri regional economy into city economy kwa namna nyepesi hivyo zipo formula unatakiwa uziapply hapo na hautapata jibu unless you obtained peripheral district collection ambazo obviously ni ndogo ukilinganisha na za jiji hivyo still you will fall on the same trap.
 
Acha uongo hata kwa hiyo HDI Arusha sio ya pili...
Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita

Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilioni ikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh. 123 bilion (2015). kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.

TRA Mwanza washindwa kufikia lengo
 
NBS wametoa takwimu generally kwa mkoa naomba ulete takwimu kwa miji pia.....!!!! Hakuna economic opportunity iliyopo Mwanza zaid ya uvuvi na biashara...kilimo rate yake ni ndogo sana kutokana na exhausted land.....arusha kuna mining, agricture, tourism na business..na hvyo vyote vimetapakaa almost the whole land of arusha....ndo mana nkakwambia haiwezekan hata kdogo maskini Wa Mwanza waufikishe mkoa kwenye namba nne katika ulipaji kodi ili hali ni choka mbaya...means hapa kuna kitu...mji wa mwnza ndo unaobeba hapo, na shughuli kubwa ni biashara na uvuvi..hakuna madini, hakuna tourism...sasa naomba takwimu za miji na majiji...try to be innovative, data zako haziwezi kuzuia watu kuargue, zipo more general....but kama umekomaa kimkoa zaid bas

Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita

Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilion iikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh.123 bilion (2015) kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.

TRA Mwanza washindwa kufikialengo
 
Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita

Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilioni ikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh. 123 bilion (2015). kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.

TRA Mwanza washindwa kufikia lengo
Huo ni uongo kabisa, Hiyo Trilioni 1.27 Arusha wamekusanyia wapi...?! Hata zile data za bwana FisadiKuu hata nusu Trilioni hawajafika...
 
Tusiongee maneno matupu angalia history ya Arusha hapa wanapambanishwa na mikoa miwili Mwanza na Geita

Mulongo amesema kuwa mkoa wa Arusha katika kipindi cha mwaka 2013 ilikusanya Sh. 1.27 trilion iikilinganishwa na Mwanza na Geita ambayo inakusanya Sh.123 bilion (2015) kitendo ambacho ni aibu kwa mikoa hiyo.

TRA Mwanza washindwa kufikialengo
Yaani tena hapo ni mwaka 2013 Arusha ikiwa Manispaa, inakusanya Trilioni 1.27 yaani inaizidi Mwanza mara karibia kumi kwa kukusanya...

Tena hapo wanalinganisha hayo mapato ya Mwanza ni mwaka 2015...

Wewe na Mulongo mtakuwa waongo sana...
 
Huo ndio ukweli mchungu 😀😀😀 Mulongo anaongea from experience ameshakua RC Wa Arusha muda mrefu na Mwanza vilevile.

Kaa ukijua tokea Tanzania ipate Uhuru Mwanza haikuwahi kuipita Arusha kwa ukusanyaji wa mapato hata siku moja.

Mamlaka ya Mapato Tanzania - Takwimu za makusanyo ya kodi
Download takwimu za kodi kitaifa ujiridhishe kwamba Mwanza ni Mdogo sana kwa Arusha mkoa Wa kikodi Wa kinondoni ukitoka ndio Arusha anafuata.
 
Ngoja nikwambie mkuu, tukiangalia takwimu za majiji arusha haina nguvu mkuu...arusha ni mkoa Wa pili kwa mapato ya kodi na mwanza ni ya nne, arusha ipo kat ya mikoa mitatu yenye ahueni ya uchumi na Mwanza ipo kt ya mikoa mitano yenye hali mbaya kiuchumi....sasa inakuwaje watu maskini wanapandisha mkoa mpaka namba nne kwa kodi? Hapo utagundua kuwa Mwanza city ndo inayochangia 98% ya makusanyo ya mkoa, arusha pale mjin kat hakuna kitu, tanzanite na tourism attraction ndo vinabeba ambavyo havipo pale mjini kat...ila vinaingizwa kwenye mapato ya mkoa, kuanzia tanzanite mpak mbuga za wanyama, kuna lodge nying tu nzur zpo nje ya mji na zingine mbugani...mkoa Wa mwnza hauna kingine zaid ya biashara inayofanyika mjini kat, per day watu takriban lak saba huingia na kutoka kwa ajil ya biashara...hakuna hotel ya maana nje ya jiji, makusanyo ya kodi ya mkoa yamebebwa na mji, Hvyo mji hautegemei wakazi Wa mkoa cjui umenielewa....

Kila mahali utakapoona mapato ya TRA ya Mwanza jua na mkoa wa Geita upo ndani hivyo wakati unaipambanisha na Arusha ujue ni mikoa miwili Vs mkoa mmoja.
 
Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina

Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Hv arusha na dar ipi chafu wewe? Dah ukifika tu chalinze ukiwa unakuja dar unaanza sikia hewa yenye joto na harufu kali ya shombo la samaki hapo ujafika sasa dar yenyewe.
 
Arusha hakuna double road jiji gani hilo bora hata Iringa kuna double road mji wote umejaa barabara za uchochoro
Arusha inayo zaidi ya double road hii ni mojawapo.

5.JPG

Hapo bado pedestrian walk side, road lights, traffic signs na reflectors tufunge business.
 
Hv arusha na dar ipi chafu wewe? Dah ukifika tu chalinze ukiwa unakuja dar unaanza sikia hewa yenye joto na harufu kali ya shombo la samaki hapo ujafika sasa dar yenyewe.
Nimebahatika kuchungulia projects za halmashauri ya jiji is just the matter of time Arusha inaenda kubadilika sana hasa kwenye miundombinu.

Hipo hiyo project ya kuunganisha kata zote za jiji la Arusha kwa lami na kujenga masoko ya kisasa kwa morombo, mbauda na mkonoo

naiamini team ya madiwani na mayor na mkurugenzi wa jiji wapo njema sana na tayari projects zimeanza.

Mwanza wao watafute mshindani wao Arusha is way highest

Back
Top Bottom