hasason
JF-Expert Member
- Sep 19, 2012
- 1,648
- 1,542
Mkuu kwenye hizo nondo zote lazima walale mbele makabrasha yanawakanaMkuu naona mangosha yamelala mbele....hahahah....!

Mkuu kwenye hizo nondo zote lazima walale mbele makabrasha yanawakanaMkuu naona mangosha yamelala mbele....hahahah....!

Hawana cha kubishia zaidi ya blah blah mkuu... Mwambie alete official report yeyote inayoonyesha Mwanza imeizidi chochote Arusha kama atakuleteaSasa sijui kwanini wanabisha kwa maneno matupu wakati sisi tunaleta official reports.
Nimekuja kugundua Mwanza kuitwa jiji la pili kwa ukubwa Tanzania watu wameichukulia in general view.Nimeishi mikoa yote hiyo,
Arusha imeiyacha mwanza mbali sana,Mwanza miaka hii 4 ndio imeanza chanua,
Hata hujaelewa nachoongea...Sasa hiyo property tax haikusanywi Arusha mjini?
Sababu mnasema Arusha ni watalii tu.
Tunatofautiana kimitazamo na vipaumbele..nimewahi kuwa Arusha..binafsi sijapapenda kukaa..Jiji ambalo bado sijafika na linasifiwa ni Mwanza..nafikiri nikifika huko nitapata cha kuzungumza.. na safari ya kwenda huko nitaifanya hivi karibuni..ni ya kwenda kutembea tu na kula sato na sangara mana nasikia wanapungua kwa kasi sana ziwani..
Acha uongo hata kwa hiyo HDI Arusha sio ya pili...Nimekuja kugundua Mwanza kuitwa jiji la pili kwa ukubwa Tanzania watu wameichukulia in general view.
Hawajui ni jiji la pili kwa population ndio mana mkoa wa kwanza kwa ukubwa Tanzania sio Dar bali ni Tabora geographically.
Mwanza ni jiji la pili kwa population lakini sio kwa HDI na Tax collection Arusha ndio jiji la pili kwa hali nzuri ya maisha ukitoka Dar.
hihihihihihi oya vipi umeona nondo kutoka NBS ambazo zinaonyesha Mwanza is just overrated?? Vipi una data zozote official za kutetea jiji lako?? Naomba mabandiko official sio blah blah plzAcha uongo hata kwa hiyo HDI Arusha sio ya pili...
Bado sijazipitia nilikuwa nataka kujua hizo zinamaana gani kwani...?! Mfano pale kwenye A naona Arusha kuna 1 ndio nini hiyo...?!hihihihihihi oya vipi umeona nondo kutoka NBS ambazo zinaonyesha Mwanza is just overrated?? Vipi una data zozote official za kutetea jiji lako?? Naomba mabandiko official sio blah blah plz
Kama unashindwa elewa kitu kidogo hivyo mkuu mbona unanitia wasiwasi... Yaani 1 + 1 = 2 lakini bado hujaelewa tu...Bado sijazipitia nilikuwa nataka kujua hizo zinamaana gani kwani...?! Mfano pale kwenye A naona Arusha kuna 1 ndio nini hiyo...?!
nipatie data jiji wanakusanya kiasi gani...?! Kwenye Service levy, Na vyanzo vingine kama signboards, Property tax, tukija na kwenye ada za leseni za biashara hata pia katika hotel levy...
Manispaa mbili zinazounda jiji Mwanza kwa jiji moja la Arusha, kwa baadae tunategemea kuwa na Manispaa tatu Arusha ila bado wapo chini ngojea tusitawishe mamlamka za miji midogo ile kwanza ya USA River na Ngaramtoni...
Ngojea nizame TAMISEMI kwanza nitafute data...
Ngoja nikwambie mkuu, tukiangalia takwimu za majiji arusha haina nguvu mkuu...arusha ni mkoa Wa pili kwa mapato ya kodi na mwanza ni ya nne, arusha ipo kat ya mikoa mitatu yenye ahueni ya uchumi na Mwanza ipo kt ya mikoa mitano yenye hali mbaya kiuchumi....sasa inakuwaje watu maskini wanapandisha mkoa mpaka namba nne kwa kodi? Hapo utagundua kuwa Mwanza city ndo inayochangia 98% ya makusanyo ya mkoa, arusha pale mjin kat hakuna kitu, tanzanite na tourism attraction ndo vinabeba ambavyo havipo pale mjini kat...ila vinaingizwa kwenye mapato ya mkoa, kuanzia tanzanite mpak mbuga za wanyama, kuna lodge nying tu nzur zpo nje ya mji na zingine mbugani...mkoa Wa mwnza hauna kingine zaid ya biashara inayofanyika mjini kat, per day watu takriban lak saba huingia na kutoka kwa ajil ya biashara...hakuna hotel ya maana nje ya jiji, makusanyo ya kodi ya mkoa yamebebwa na mji, Hvyo mji hautegemei wakazi Wa mkoa cjui umenielewa....Kijana acha kujiaibisha unasema Mwanza inakua zaidi ya Arusha wakati tax collection ya Arusha ni mara 2 ya Mwanza
na utofauti wa ukuaji wa mwaka jana Arusha mapato yameongezeka kwa 60% huku Mwanza yameongezeka kwa 24% una maana gani kusema Mwanza inakua zaidi ya Arusha???
Ni kigezo gani unatumia kama verification ya point yako??
Nahreel kazaliwa dsm na life limemnyokea akiwa dsm, Millard ayo maisha yamemnyokea akiwa Dsm..., wasanii wote Wa Mwanza wamechomokea hukuhuku mwanzahahahahahaha sasa hapo kuna mwenye mafanikio kweli?? Young Killer hahahaha huyo si sawa na yule Dogo Janja tu..
Nimejaribu kutafuta data za Tamisemi sijafanikiwa kupata nimeingia kwenye web za majiji yote mawili naona web zao zinazingua tu...Kama unashindwa elewa kitu kidogo hivyo mkuu mbona unanitia wasiwasi... Yaani 1 + 1 = 2 lakini bado hujaelewa tu...
Aya pitia report yote hapa http://www.nbs.go.tz/nbs/takwimu/Br/2014_15_SBR.pdf
Mwanza mkoa una fursa gan? Kama ni madini ni yap? Kilimo utakifanyia Wap? Political stability ina mchango mkubwa sana ktk utilization of resources, rwand air na south African airways..walianzisha route za kuja Mwanza, but miundo mbinu ni mibovu wakasitisha, watalii walilalamika cost kubwa zilizopo Chuga....hoja ikaja kutokea mwnza ni karbu kwenda serengeti na cost ni nafuu...akina zitto wakapiga kelele bungeni....watu Wa Chuga wakaja juu wakihofia mapato yao... uwanja ukaendelea kusua sua kujengwa....unaposema kariakoo sijui imefanyeje unajua kwa nini kariakoo ipo vile? Mpak nchi jiran zinategemea kariakoo....unafkri ni kwa uweza Wa wafanya biashara Wa kariakoo au unaropoka tuu....unapotoa factor moja other factor should remain constant.. .sio unaongea ongea tuuu...Chuga si wameutendea haki mkoa wao...mbna dili kubwa kubwa za utalii zinapigwa na watu Wa Nairobi? Mbna India ndo inaongoza kwa kuuza tanzanite? Kwa nin Chuga sio ecomic hub ya tz? Kwan watu Wa chuga hawapend kufikia level hzo? Y bidhaa nying zinamiminika toka dsm kuja Chuga? Wazaramo wa dsm ndo wamejenga huo mji? Think beyond the reality sio unakrupuka tuu na data but hujajua the main problem ni nin?Kama yanafanyika mbona kodi ni dhoofu ukilinganisha na Population yenu?? Kwanini hamchangamikii fursa kuufanya uwe mji wa kibiashara kweli na si blah blah?? Au mnasubiri serikali ije iwafungulie Kariakoo yenu?? Pale Ilala wanakusanya kodi almost Billion 900.. Yaani mara 9 ya Mkoa mzima wa Mwanza. Hizo kodi nyingi hapa zinatoka pale Kariakoo na kule Posta.. Kariakoo inalisha mpaka Zimbabwe huko. Mwanza kujiongeza akili angalau mkahudumia hivyo vimikoa vilivyowazunguka huo ujanja hamna.. Sasa unajilinganishaje na Arusha?? Arusha fursa chache zilizopo za Utalii na Madini watu wanazitumia ipasavyo na wengi zinawalipa. Hotels nyingi hapa mjini zinamilikiwa na wazawa wa Arusha..
Mkuu mapato ya halmashauri hayawezi kudetermine uchumi au mzunguko wa pesa sehemu husika.. Mfano ni kuwa Mwanza wao wana tozo zao ambazo zina bei zao na Arusha pia wana tozo zao zenye bei zao ambazo zinapangwa na mabaraza ya madiwani wa sehemu husika. Mwanza wanaweza kutoza guest kila room shilling 100 kwa siku lakini Arusha wakatoza kila room shilling 50 kwa siku. Mwanza wanaweza wakawa wanachukua elfu 5000 kwa kila basi linaloingia stendi wakati Arusha wakawa wanachukua 10,000 kwa kila basi. Kwahiyo mapato ya halmashauri mara nyingi huwa hayahakisi direct maendeleo ya mji husika..Nimejaribu kutafuta data za Tamisemi sijafanikiwa kupata nimeingia kwenye web za majiji yote mawili naona web zao zinazingua tu...
Sijajua pia Target wamepewa kukusanya kiasi gani...?! Hapo kulingana na mapato ya Halmashauri, lakini kwa hili jiji linaloishia pale Sakina kwa Idd, ambapo pale halifiki Kisongo au Upande mwingine likiishia Moshono, upande mwingine likiishia Nduruma halifiki Tengeru, sidhani kama mapato ya halmashauri yatakuwa makubwa sana, mita 200 kutoka barabara kuu, ukiwa kule Moivo au Ilboru sio jiji tena hata Sanawari ya juu...
NBS imekujibu mi naomba niwekee takwimu sio blah blah hapa... Unavyolalamika kusua sua kwa kujenga kwa uwanja wa Mwanza unailalamikia serikali yako.. Tanzanite kuuzwa zaidi India haimaanishi watu wa Arusha hawafaidiki na hiyo Tanzanite.. India ndiyo inauza Tanzanite kwa wingi kwenye soko la dunia, lakini hao wahindi wanakuja kununua Tanzanite Tanzania..Mwanza mkoa una fursa gan? Kama ni madini ni yap? Kilimo utakifanyia Wap? Political stability ina mchango mkubwa sana ktk utilization of resources, rwand air na south African airways..walianzisha route za kuja Mwanza, but miundo mbinu ni mibovu wakasitisha, watalii walilalamika cost kubwa zilizopo Chuga....hoja ikaja kutokea mwnza ni karbu kwenda serengeti na cost ni nafuu...akina zitto wakapiga kelele bungeni....watu Wa Chuga wakaja juu wakihofia mapato yao... uwanja ukaendelea kusua sua kujengwa....unaposema kariakoo sijui imefanyeje unajua kwa nini kariakoo ipo vile? Mpak nchi jiran zinategemea kariakoo....unafkri ni kwa uweza Wa wafanya biashara Wa kariakoo au unaropoka tuu....unapotoa factor moja other factor should remain constant.. .sio unaongea ongea tuuu...Chuga si wameutendea haki mkoa wao...mbna dili kubwa kubwa za utalii zinapigwa na watu Wa Nairobi? Mbna India ndo inaongoza kwa kuuza tanzanite? Kwa nin Chuga sio ecomic hub ya tz? Kwan watu Wa chuga hawapend kufikia level hzo? Y bidhaa nying zinamiminika toka dsm kuja Chuga? Wazaramo wa dsm ndo wamejenga huo mji? Think beyond the reality sio unakrupuka tuu na data but hujajua the main problem ni nin?
Hv wewe umekrupukaa...mbna unachoongea hakielewekiWe unaijua arusha ama umekurupuka tu arusha ndio mji pekee wakazi wake tabia hoteli na maisha kwa ujumla n wa kipekee ,hotel za no 5* nyingi na wageni hupokelewa vizur kupita hotel zozote tz na ni mji wa kipekee jaribu kwenda sehemu za kitalii utajihis huna hadhi we stand ya nn sasa au club mbona zipo tena clabu za karibian huku hakuna clab za kucheza singeli tabia na lafudhi ndio kitambulisho cha arusha mavaz ya vijana ndio usiseme n tofaut na popote pale kila MTU ana pesa CIO dar njaa tupu karibu arusha tukutembeze wenyeji hakika utaipenda karibu chuga dingilii
NBS wametoa takwimu generally kwa mkoa naomba ulete takwimu kwa miji pia.....!!!! Hakuna economic opportunity iliyopo Mwanza zaid ya uvuvi na biashara...kilimo rate yake ni ndogo sana kutokana na exhausted land.....arusha kuna mining, agricture, tourism na business..na hvyo vyote vimetapakaa almost the whole land of arusha....ndo mana nkakwambia haiwezekan hata kdogo maskini Wa Mwanza waufikishe mkoa kwenye namba nne katika ulipaji kodi ili hali ni choka mbaya...means hapa kuna kitu...mji wa mwnza ndo unaobeba hapo, na shughuli kubwa ni biashara na uvuvi..hakuna madini, hakuna tourism...sasa naomba takwimu za miji na majiji...try to be innovative, data zako haziwezi kuzuia watu kuargue, zipo more general....but kama umekomaa kimkoa zaid basNBS imekujibu mi naomba niwekee takwimu sio blah blah hapa... Unavyolalamika kusua sua kwa kujenga kwa uwanja wa Mwanza unailalamikia serikali yako.. Tanzanite kuuzwa zaidi India haimaanishi watu wa Arusha hawafaidiki na hiyo Tanzanite.. India ndiyo inauza Tanzanite kwa wingi kwenye soko la dunia, lakini hao wahindi wanakuja kununua Tanzanite Tanzania..
Kariakoo kuwa vile ni wachuhuzi wao waliona fursa na wakaitumia. Kwani leo hii hapo Mwanza kuna mtu kakatazwa kwenda China kufunga mzigo akauza kwa jumla hapo Mwanza ili hata watu wa Tabora, Kagera wasihangaike kwenda Kariakoo.. Hilo nalo linashindikana?? Arusha ni Tourism Hub ya Tanzania, huko kwenye Economic hub tumewaachia Dar. Unasema dili kubwa za utalii zinapigwa na watu wa Nairobi wakati among 10 top african safari tour operators 4 makao makuu yao ni Tanzania, Arusha?? Tatizo unaongea vitu usivyovijua, ndio maana nakwambia hapa weka data si blah blah... Maendeleo Mwanza hayatakuja kwa blah blah kijana...