Nilichogundua kuhusu Arusha

Nilichogundua kuhusu Arusha

Arusha inawakazi wengi wazawa na sio washamba kwani Jiji wanalijua vzr......tofauti na wakazi wa dar wengi ni washamba wametoka vijijini uko basi wameona dar ndio kila kitu wakati sio kabisa.........dar ndio jiji linaloongoza kua na wakazi wenye hari ya chini kuliko miji mingine km Arusha....mwanza na Moshi.....sasa nyinyi wakazi wa dar embu semeni dar kuna kivutio gani cha utalii?
 
Una ujanja gani wewe!!!!!
 
Ndio bana wakazi wa dar ni limbukeni wa jiji utake usitake! halafu mnaongoza kwa majungu na vijiwe vyenu vya singeli ivyo....so Arusha watu wapo kikazi zaidi haina kulemba.
 
Hata kama ni issue cmplcted but naamin zipo, hzo formula unazodai naamin zipo kwa ajli ya kujibu such qn kama hutaona shida bas zitumie ili unijibu....kama uwezo wako umeishia kwenye data za mkoa basi....ni ukweli usiopingika kuwa wananchi Wa mkoa Wa mwanza ni maskini na ndo mana kwenye data za NBS, karbu kila sector Mwanza imelag behind five or more regions kama sikosei....but jiji la Mwanza performance yake ni kubwa sana, na wewe unalidharau kwa kuwa limebeba jukumu la mkoa mzima, ukianzia sengerema, kwimba, magu na ukerewe hakuna kitu kabisa na si ajabu wiaya zote hzo zikachangia only 4billion per year kwenye mkoa....mkoa arusha una vivutio kama , ngorongoro creator, riftvalley, national park, national reserve, mount meru, pia biashara ipo Chuga, madini nayo usiseme, sector ya uvuvi ipo, na sector ya agriculture pia Ipo....tourism yenyewe ipo kwenye top three ya sector zinazoingiza pato kwa kiwango cha juu, thus y Chuga ipo juu kimapato...Mwanza Hamna kitu zaid ya uvuvi na biashara.....naamini Mwanza ipo namba nne kwenye rank za tax bcse of Mwanza city.....ndo mana nikasema twende ndan zaid tuangalie miji na majiji yanacontribute kias gan ktk kodi? Tusiishie kwenye mkoa tuuu..... Mi ndo hoja yangu imejikita hapo...na kama hakuna official report bas hyo ni error ya TRA....huwez kuliponda jiji la Mwanza kwa takwimu za mkoa...mana kama ni hvyo bas mwmza inatakiwa iwe manispaa na mosh iwe jiji kitu ambacho si kweli....
Ninesoma comments za chongchung kuna moja inasema mapato ya TRA ya Mwanza huwa ni pamoja na Geita nimejaribu kutafuta mapato ya Geita binafsi tokea iwe mkoa sijayaona hivyo ni kweli mapato ya TRA ya Mwanza ni pamoja na Geita .

Kwa mantiki hiyo hoja yako hii imejibika na nimekuelewa vizuri tu point yako ila kuwapo mchango wa Geita regarded as one of the Mwanza's tax province ni thahiri Mwanza as city tax stability it too low compared to Arusha.

Ikumbukwe Geita ina pato kubwa la madini.

Nimemwambia kuwa jiji la mwanza ni habari nyingine.....wanalipa mzigo Wa mkoa mzima na hapo kweli litaonekana si chochote...but service zilizopo Mwanza ni shiidah....serikali haijaweka mkono wake jijini mwanza...bas maghufuli ahamishie international affair zote Dodoma tuone kama Chuga kitabaki kitu
Mwanza + Geita = 131.6

Arusha = 324.7

Kodi ya 2015/2016

Haaa haaa halafu huyo ni much know Hamna mfanoo
Heri uwe much know kwa mambo ya msingi hata kama huyajui ila itakusaidia kuyajua...

Kuliko kuwa much know wa kudiscuss maisha ya watu kwenye mitandao...

Kwa ushauri tu, mabinti wa kichagga wanatafuta maisha hawatafuti umbeya kama ufanyavyo wewe humu.. Pitia hapa ujione wewe ni mtu wa namna gani.

A person who gossips normally looks like they would never harm a fly. The true definition of a gossip is a person who talks about another person in their absence with the objective of putting them down and ultimately damaging their reputation. Tazim Elkington says gossip is a destructive habit in men and women and if you identify with any or all of the descriptions below, time to take an anti-gossip tablet..

You use pseudo accounts to insult people and share nasty information about them. I would describe you as a coward. A person who spreads misery and gets joy from it. A two-faced person with a wicked heart. You are the type of person who cannot mind your own business and need negative stimulation to feel better about yourself.
 
Kuna watu wameumbwa tofauti au labda ni utoto unawasumbua spelling error na hizi simu za touch mtu anakuza as if ni big deal naonaga mara nyingi ni ushamba tu sababu ingekua ni kiswahili wala asingecomplain after all who cares

Arusha inawakazi wengi wazawa na sio washamba kwani Jiji wanalijua vzr......tofauti na wakazi wa dar wengi ni washamba wametoka vijijini uko basi wameona dar ndio kila kitu wakati sio kabisa.........dar ndio jiji linaloongoza kua na wakazi wenye hari ya chini kuliko miji mingine km Arusha....mwanza na Moshi.....sasa nyinyi wakazi wa dar embu semeni dar kuna kivutio gani cha utalii?
FisadiKuu msaidie huyu mwenzenu hajui mji gani unaongoza kwa hali nzuri kimaisha, nafikiri hio ripoti mmeitumia sana humu. Back to you Arusha haifikii hata wilaya ya kinondoni. Shindaneni na Mwanza,Mbeya,Klm etc.
 
Kuna watu wameumbwa tofauti au labda ni utoto unawasumbua spelling error na hizi simu za touch mtu anakuza as if ni big deal naonaga mara nyingi ni ushamba tu sababu ingekua ni kiswahili wala asingecomplain after all who cares

Wakikosa cha kujibu huwa wanatafuta vijisababu tu... Kwanza mwenyewe imebidi nishangae tu...

Na mwingine anatoka mbio huko eti najifanya much know. Kwanza ilibidi niangalie huyo anayeniita much know huwa nakutana nae wapi wakati sijawahi kum'quote wala uwepo wake humu siutambui. Nimeona tu post zake nyingi ziko majukwaa ambayo mimi wala sipitagi na nikipita ni kwa bahati mbaya tu. Ila nimejua kumbe wanatusoma kimya kimya ingawa wajibuji ni wachache..
 
FisadiKuu msaidie huyu mwenzenu hajui mji gani unaongoza kwa hali nzuri kimaisha, nafikiri hio ripoti mmeitumia sana humu. Back to you Arusha haifikii hata wilaya ya kinondoni. Shindaneni na Mwanza,Mbeya,Klm etc.
With no doubt Dar inaongoza... Ila kwakuwa Dar ni mtani wetu wa jadi kulikubali kirahisi rahisi inakuwa ngumu.. hehehehe
 
Nmejifunza mengi kuhusu arusha kumbe Nilikua siifahamu arusha vizuri.....nmefrahi kuona vile watu wanaaweza kutoa facts bila kumumunya maneno .....klm inaiburuza MwanZa kimapato basi MwanZa wanaautajiri wa watu .....lile ziwa na migodi bado klm inawakimbiza mapato ....ni ngumu kuamini Ila ndio hivyo
 
Wakikosa cha kujibu huwa wanatafuta vijisababu tu... Kwanza mwenyewe imebidi nishangae tu...

Na mwingine anatoka mbio huko eti najifanya much know. Kwanza ilibidi niangalie huyo anayeniita much know huwa nakutana nae wapi wakati sijawahi kum'quote wala uwepo wake humu siutambui. Nimeona tu post zake nyingi ziko majukwaa ambayo mimi wala sipitagi na nikipita ni kwa bahati mbaya tu. Ila nimejua kumbe wanatusoma kimya kimya ingawa wajibuji ni wachache..
hawana capability ya kujibu hizi nondo wanaona maruerue tu. Hicho walichocomment ndio highest level of their brain's functionality capacity.

hawana capability ya kujibu hizi nondo wanaona maruerue tu. Hicho walichocomment ndio highest level of their brain's functionality capacity.

Kumbe ndio maana wanabaki kusema tunajifanya much know... Wao mbona wanavyodiscuss Diamond kalala na nani hakuna anayewabuguzi huko..
 
Makelele tu barabara zenyewe ndo kwanza zinatengenezwa wakati barabara kama hizo zilikuwepo mwanza tangu Arusha ikiwa manispaa.
Mtu anavyoiongelea Arusha sio kama haijui Mwanza hakukua na utofauti wowote wa barabara ya two lane kati ya Arusha na mwanza.

Kipande cha four lane cha Mwanza kutoka crossroads za mwaloni na airport makongoro road ndio kama kipande cha four lane cha Arusha kutoka office za municipal viavia mpaka Sanawari traffic lights AICC road.
Sasa sijui huo ukongwe wa Mwanza kwa two lane unatokea wapi?

Kwa sasa Arusha ikikamilisha four lane yake ndio itakua refu ikitoka Dar wala Mwanza haipo.
 
Mtu anavyoiongelea Arusha sio kama haijui Mwanza hakukua na utofauti wowote wa barabara ya two lane kati ya Arusha na mwanza.

Kipande cha two lane cha Mwanza kutoka crossroads za mwaloni na airport makongoro road ndio kama kipande cha two lane cha Arusha kutoka office za municipal viavia mpaka Sanawari traffic lights AICC road.
Sasa sijui huo ukongwe wa Mwanza kwa two lane unatokea wapi?

Kwa sasa Arusha ikikamilisha two lane (japo nasikia ni three lane) yake ndio itakua refu ikitoka Dar wala Mwanza haipo.
Wakati huo mwanza hakuna project zozote za ujenzi wa barabara ama ulitaka kutuaminisha lipi??.
 
Hili vumbi la huku ni noma, mvua ikinyesha pia inakuwa ni shida tope lake si mchezo...

Machalii wa Unga Ltd kina Mchome wanajua...

Humu kina Fisadi wanasema eti watu kule wanaishi kwenye mawe wanadai pia ni washamba, huku dada zao wanapenda, wanalilia mbegu za kina Mkuu wa chuo...

Wanacheck jitu strong, machalii nawatoa maswala ya viroba...
 
Back
Top Bottom