Huna unachokijua bandari bora ukae kimya tu.. Zile gate zote za bandari watendaji wake wote wanatoka strong room pale TRA Samora.. Kaa kimya tu usije aibikaNi TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
Huna unachokijua pale bandari wewe... Kaa kimya tu.. Bandari na mageti yote yale collectors wanatoka pale Samora.. Hahahahaha we jamaa unadhani tunakaa Arusha tu na Tz hatuijui auWe unadhani zile gate za Kurasini zipo Wilaya gani...?!
Niambie Manyara chadema wana viti vingapi...?! Kama sio viwili tu, au kule Tanga wana viti vingapi...?!Inaongozwa na Chadema.. Una lingine??
Arusha na Kilimanjaro imekuwa Manyara na Tanga?? Watanga wao wana empire yao inaitwa Tanga Line..Niambie Manyara chadema wana viti vingapi...?! Kama sio viwili tu, au kule Tanga wana viti vingapi...?!
na imeundwa lini hiyo North Empire...?!
We wa wapi wewe...?! Kishumundu nini... mi naongelea location, hivi wafanyakazi wengi kwa mfano wa Serengeti wakitokea Arusha, itaifanya Serengeti kuwepo Arusha...?!Huna unachokijua bandari bora ukae kimya tu.. Zile gate zote za bandari watendaji wake wote wanatoka strong room pale TRA Samora.. Kaa kimya tu usije aibika
Bwana Ardhi naongea kitu ninachokijua sio blah blah na hisia zako za kijinga..We wa wapi wewe...?! Kishumundu nini... mi naongelea location, hivi wafanyakazi wengi kwa mfano wa Serengeti wakitokea Arusha, itaifanya Serengeti kuwepo Arusha...?!
Mara nyingi mbona huwa unaijumuisha Tanga katika North Empire...?! Naona...Arusha na Kilimanjaro imekuwa Manyara na Tanga?? Watanga wao wana empire yao inaitwa Tanga Line..
Ipo kabla baba yako hajazaliwa
Washamba wenye akili(mwanza), wajanja elimu hawana (arusha)Huwezi kufananisha jiji la washamba,(mwanza) na arusha hata kidogo
Acha ushamba wewMkuu wala usihangaike kushambulia.. Mwambie akuwekee analoliita pagala la kishamba kutoka Mwanza. Kama hatakuwekea vile vijumba vya milimani kule hahahahaha... Mwanza nzima nyumba nzuri ni hizi pekee
Hakuna picha watakuwekea zaidi ya hizi na zile nyingine mbili...
Mbona umekuwa mkali, atleast umepata mantiki, na sio kuja kutamba tena humu eti nyie mnalipa kodi...Mtu mjinga sana anasema TMK eti wanategemea kodi ya bandari.. Mpuuzi sana huyu mtu.
Unajua TMK kuna viwanda vingapi? Unajua Temeke kuna population ya watu wangapi? Unajua TMK ina shule na vyuo binafsi vingapi? Unajua Keko kule kuna workshop na vijiwanda vidogo vidogo vingapi? Unajua mtaa wa temeke pekee una bar na maduka mengi kuliko hata Mwanza yote? Alafu mtu mjinga kabisa anasema Temeke wanategemea tozo za bandari. Tozo za bandari hajui kama zinaenda DSM Service Centre... Unafikiri hapa kuna wajinga kama wewe..
Mtu mwongo lazima agombezwe... Mwanza mnalitumiaje hilo ziwa na hao samaki?? Arusha mnasingizia eti ni Mbuga na Moshi nayo yenye Mlima Kilimanjaro pekee mtasemaje?? Moshi ina mlima nyie mna ziwa mbona Kilimanjaro na udogo wake bado wanawazidi ukusanyajiMbona umekuwa mkali, atleast umepata mantiki, na sio kuja kutamba tena humu eti nyie mnalipa kodi...
Dah watu wa vijijini/mikoani kwa kujipa matumaini!Azia ngulelo./ kerai mpaka ngaramtoni ya juu!! Azia miazini....hdimkonoo.. Njooo hadi kisongo.. Urudi hadi moshono km uneenda mererani!!/ yaani pana pendeza !! Saana!! Kwa dar es SALAMA! Azia. Ubungo maji ....Mabibo...panda km unaenda sinza..kunja km unaenda mkwjuni...tembea mpaka uje magomeni... Teremka uje Kigogo karibu saana na mjii naenda mpk keko napita mpk tandika!! Mtongani!! Hadi yombo!! Kote ni kuchafuu!!
Eti bandari iko temeke hahahahhaa...
Mkuu RRONDO hivi bandari iko TMK au Ilala?? Naomba msaada wako hapa..
Na gati za meli zitakua chang'ombe au mbagala. ππππ
Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
Ni TRA Ilala, niliongelea gate za kule Kurasini...
We unadhani zile gate za Kurasini zipo Wilaya gani...?!
Mkuu hizo kodi zinalipwa popote huyu alikuwa anaongelea tozo.. Hizo kodi huwa hazijumuishi kwenye mapato ya Wilaya bali zote zinaingia kwenye DSM Service CentreBandari iko Temeke kuhusu kodi unaweza lipa TRA manispaa yoyote benki
Nikirudi katika kodi za Halmashauri, kwa mfano ile kodi ya Huduma/service levy, au kodi ya Hotel/hotel levy...Mtu mwongo lazima agombezwe... Mwanza mnalitumiaje hilo ziwa na hao samaki?? Arusha mnasingizia eti ni Mbuga na Moshi nayo yenye Mlima Kilimanjaro pekee mtasemaje?? Moshi ina mlima nyie mna ziwa mbona Kilimanjaro na udogo wake bado wanawazidi ukusanyaji
We jamaa una ubishi wa kitoto sana.. Endelea kujibishia mwenyewe basiNikirudi katika kodi za Halmashauri, kwa mfano ile kodi ya Huduma/service levy, au kodi ya Hotel/hotel levy...
Je kwa Arusha kuna kampuni ngapi na hotel ngapi...?! Kumbuka pote huko wanapopita Halmashauri na TRA wanapita huko...
Je unaweza ukanipa sababu ni vigezo vipi vimefanya Kilimanjaro kuipita Mwanza kwenye ukusanyaji wa kodi kulingana na jedwali lako...?! Je ni wale watu wachache wa huko wanatoa sana kodi ama...?!
au labda nikuulize ni kwanini kwa mara ya kwanza kabisa walivyoingia serikali ya awamu hii ikaonekana kodi inakusanywa kubwa zaidi...?! Na kwenda kiwango kinapungua...
Nikuulize tena, mimi ninapoingia ziwani kwenda kuvua je kodi nitailipia wapi sababu hata sitokuwa na TIN, labda nikienda kuuza sokoni nitalipia ushuru wa soko ambayo ni 500 tu na wenyewe ni kwa ajili ya halmashauri tu...
Na Magufuli akiutoa huo ushuru sitolipa, wanaolipa kodi ni yale makampuni na viwanda vya samaki kitu kinasoma TRA na mimi sio ninaenda kuvua...
Wale watu wanaofanya shughuli ndogo ndogo pote Mwanza na Arusha hawalipi kodi TRA, kwa hiyo usiseme watu wa huku wanalipa sana kodi kuliko sehemu fulani, angalia vyanzo...