Nilichogundua kuhusu Arusha

Kama pale Mwanza mjini wamejaa wachagga kibao wanarun biashara pale.. Mpaka yale mabasi yao waliyokuwa wanayapenda ya Kisbo ni ya north empire, Bar na Hotels na Hardware nyingi tu ni za north empire..
 
Alafu mwambie asubiri 2016/17 kama hatazimia... Ile 18% VAT lazima itatufikisha Billion 400 mpaka 450..
 
Alafu mwambie asubiri 2016/17 kama hatazimia... Ile 18% VAT lazima itatufikisha Billion 400 mpaka 450..
Mkuu kwa gape hilo hakuna matumaini yoyote kwa Mwanza kuipita Arusha kwenye tax collection hilo ni gape mara zaidi mbili na investment mpya Arusha bado ni nyingi Arusha ina viwanda Vinci zaidi baada ya Dar.
Kikubwa zaidi investment nyingi Arusha zinamilikiwa na wazawa pesa inazidi kuzunguka tu ndani ya mkoa.
 
umeongea mambo mengi lakini umeongea mambo ya kitoto yote...hivi adi saiv kwa umri wako hujajua kutetea mji wako unaoishi ata kumshawishi mwekezaji aje awekeze??? kwa IQ yako tanzania na arusha kwa ujumla ina kazi ya ziada kama watu wake ndioo wanaupeo kama huu...eti mtaani unapishana na wazungu hhahahahahha braza ndioo nikweli wazungu ni wengi lakini sio suala la kuzungumza mbele ya watu ukiwa unatetea sifa za kimaendeleo kuhusu mkoa wako...jamaaa umewakosea heshima watu wa arusha kwa hizo point zaki
 
Hvi nyie..tunazungumzia cities Au tunalinganisha tax collection statistics between two regions?.. Wengine mnaingiza mpak concept za kiukabila hapa....manyara inazd mwanza ukusanyaji wa mapato, kwa hyo babati ipo step ahead kuzid mwanza city? The same applied to mosh town je inaizid mwanza city kwa sababu Kilimanjaro ipo more step kwenye ukusanyaji wa mapato? Mtwara je na yenyewe ipo mbele zaid? Ukitoa dar, mwanza ndo mji wenye demand ya Huduma nying kuliko hata hyo arusha ila kwa vile elimu ilianzia kaskazini na watu weng wa kule wakaingia serikalini Huduma nying walipeleka arusha.....!! Na wakabebana na walivyo na roho mbaya ukabila umewajaa mpak mahofsini....hawatak watu wengne waendelee hasa kielimu...tunategemea bas arusha ungekuwa mji mkuu na mkubwa tz lakini wap... Mji choka mbaya tuuu....arusha kuna HQ ya vyuo vikuu vingi, arusha kuna viwanda vingi but mji chokaaaa.... Bidhaa zote mnazarisha ila lazima mlete huku mwanza...na ndo maana mwanza inakua kuliko hyo arusha....but return ya kodi inaanzia pale bidhaa zinapozalishwa thus y mpo mbele kwa ukusanyaji.....kuhusu umaskini ni kuwa mlijitahd kubebana baada ya kuwah kupata elimu kipind ambacho mikoa mingne haikupata chance hyo....na mfumo wa serikali ulipoanza mkajaa serikalini na mkanyanyua kwenu ndo maana mna maendeleo...but mwanza is mwanza tuuu...mbal na changamoto zilizopo ila mji unaenda....hakuna chuo cha serikali HQ...hakuna ofc kubwa za serikali, yaani cha serikali hakipo kabisaa chochote, kwenye migodi mmejazana wachaga, ofc za ardhi mmejaa na kaz yenu ni kukandamiza wananchi kwa dhuluma kisa mpo serikalini na kupeana maeneo ya uwekezaji.....utajenga kiwanda arusha ila utakuja kutafuta Wateja mwanza.....mashirika makubwa yanaongozwa na watu wa kaskazini kaz kwao ni kuelekeza mirad home kwao....rasilimali watu ni ya maana kuliko rasilimali Fedha....
Alafu mwambie asubiri 2016/17 kama hatazimia... Ile 18% VAT lazima itatufikisha Billion 400 mpaka 450..

Kama pale Mwanza mjini wamejaa wachagga kibao wanarun biashara pale.. Mpaka yale mabasi yao waliyokuwa wanayapenda ya Kisbo ni ya north empire, Bar na Hotels na Hardware nyingi tu ni za north empire..






 
Arusha kuna Satellite Cities mbili.. Huo mradi Mwanza hauwezi kuletwa miaka 100.

hahahahaahahahaah broo me huwa nafuatiliaa sana thread zako yaani jinsi unavyotumiaa nguvu nyingi kuilinganishaa arushaa kwa mwanza me huwa nabaki nacheka tu
 
Ni wapi Manyara imeonyeshwa inaizidi Mwanza kwa ukusanyaji wa mapato??

Maisha ya Kilimanjaro ni ya juu na bora kuliko Mwanza.. Hilo halina ubishi. Kilimanjaro ina vyuo vingi kuliko Mwanza, ina hospitali nyingi teule kuliko Mwanza.. Ina kila kitu zaidi ya Mwanza ambacho mwanadamu anakihitaji.. Mwanza imeizidi Kilimanjaro majengo tu na population na si kingine.. Mzunguko wa pesa Kilimanjaro ni mkubwa kuliko Mwanza.
 
hahahahhahaha yaani chalii unatuombea kifo kiasi iko chalii sio vizuri ivooo chalii sisi sote ni watanzaniaa mwanza na arusha ni kitu kimoja maneno ya humu yasikujengee chukii jamaa....yanapita tu then life baadae inasonga kama kawa
 
‘Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa”


Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na
Mwanza
ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini


Hiyo ndio main point
 
Mkuu hapo kwenye upendeleo unaosema naomba uhold mjadala tuuendeleze baadae tena nitakuwekea mpaka viambatanisho humu kuonyesha uongo wako..

Miaka ya 50 tayari wachagga walikuwa na serikali yao na walichangishana kutengeneza barabara, madaraja, kujenga shule na zahanati pamoja na kusomesha watoto.. Kwa sasa sipo nyumbani subiri nikirudi huu mjadala tuuendeleze ili ninyi mnaosema eti kunapendelea muumbuke..
 
Nashukuru maana umesoma nilichoandika....Hahaha! Daah
 
‘Mikoa mitano maskini zaidi Tanzania hii hapa”


Serikali imesema kuwa Kigoma, Geita, Kagera, Singida na
Mwanza
ndiyo mikoa mitano maskini zaidi nchini


Hiyo ndio main point
Okey...mkoa wa mwanza ni maskini..but jiji la mwanza huwez linganisha na utumbo wa jiji la arusha hyo ndo main point
 
Zunguka kote na hzo data zako lakini uelewe kuwa arusha haina msuli mzito wa kuikabili mwanza city..kama ni kodi endeleeni kutoa kwa uaminifu
 
Mfano moshono unaweza kuzani ni vichakani ila ukikaa kwenye view nzuri utaona majengo kama mbele.
 
Zunguka kote na hzo data zako lakini uelewe kuwa arusha haina msuli mzito wa kuikabili mwanza city..kama ni kodi endeleeni kutoa kwa uaminifu
Kiashiria kikubwa cha mji wenye maendeleo ni kodi na si longo longo... Endelea kujidanganya
 
Okey...mkoa wa mwanza ni maskini..but jiji la mwanza huwez linganisha na utumbo wa jiji la arusha hyo ndo main point
sasa jiji la Mwanza ambalo 85% ndio linazalisha regional income linaepukaje hapo??

Ilemela na nyamagana ndio mzalishaji mkuu usitake kuwatupia mzigo busisi sengerema na magu population kubwa ya Mwanza ambayo ndio labor power ya hiyo sum of tax wapo jijini Mwanza.

Utachekwa ukizitenga wilaya za peripherals tena ukitoa contributions zao hapo kwenye total collection ndio mtabaki na zerooos kabisa shukuri zimeboost jiji.


Wenzenu wanakomaa na pamba huko na uvuvi eti unasema hapa tunaongelea jiji???
 
Jiji lenyewe halina lolote ni upuuzi tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…