Tano au hata 1?
IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.
Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishingTano au hata 1?
IPO ya nssf imeshatafuna miaka so chini ya 7 haiishi hiyo ndio itakua 5 star ya kwanza Mwanza hizo nyingine ni kama corner bar tu.
Gold crest Ina vyumba zaid ya 50, hotel za chuga zote ulizoweka hapo hakuna five star hotel lUnajua criterion za 5 star au unaangalia ukubwa Wa jengo tu kwanza ujue lile jengo lina office kibao kama TIB Bank Vodacom NMB Bank PPF na Shops na office nyingi hivyo ukiliona vile sio lote ni hotel
kama Impala hotel Naura Spring Palace Hotel Kibo Palace New Arusha Hotel East African All Suit Hotel Corridor Spring Hotel Parrot Hotel few to mention ambayo ni majengo makubwa kuliko Gold Crest ambapo sidhani hats kama kuna vyumba 25.
Mount meru ni 4star. .kwanza imefilisika tupa kule na imejaa vumbi had kinyaa..ni mwendo wa Mafua tuu, no more hotel thereAcha povu ww,,, mount meru, kibo palace, ni nn
Arusha hakuna five star hotel kwa sasa....parrot ndo inarate kwenye 5 na yenyewe haijaanza kupiga mzigo na kama imeanza bas haina hata sku 15...hata hvyo bado inadumbukia kwenye 4 star kwa viwango internationally....dar ndo kuna 5 star na zenyewe sidhan kama znafka hata tano ....kama unabisha shusha data...sio kuongea tuu..
Nan akaozeshe meno watoto kule wewe...acha tu iendelee kuwa sehemu ya wazungu kushangaa ngedereKama ningekuwa baba jessy, cha kwanza kabisa baada ya kuingia ikulu ya magogoni, immediately ningetangaza Arusha ndio mji mkuu wa tz.
Gold crest Ina vyumba zaid ya 50, hotel za chuga zote ulizoweka hapo hakuna five star hotel l
Sm hw parrot...na yenyewe haipo verified
Wewe kiroboto hata hujitambui...Nssf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, ppf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, lapf walianza mwanza ndo wakaenda chuga, nssf wamerud tena kwenye hotel kama wangepigwa hasara wasingerudi..ppf nao wanarudi soon kwenye massive building, huwez fananisha commercial city na jiji linalotegemea uwepo wa nyumbu na swala...shame on uNa kupeleka mradi wa Five Star Hotel Mwanza ni kupoteza pesa..NSSF wamekula hasara kama walivyokula PSPF na Rock City Mall...
Muulize mana hawachelewi kukimbilia porini kusaka lodge nzuri nzuri mana pale mjin kat ni shiiidahUmeelezea jiji la Arusha ama Mkoa wa Arusha?
Muulize mana hawachelewi kukimbilia porini kusaka lodge nzuri nzuri mana pale mjin kat ni shiiidah
Mkuu mi nawanyuka tuuNa siku zote huwa wanakimbilia huko, Na ujue hapo wamekusanya mkoa mzima vs mwanza city.
Mi nakutia bakora tuu, kamata zingine hzo tano za nguvuWanakuja na malori ya Dagaa alafu akiona nyumba imezungukwa na garden anasema hapo ni porini mawe yameshamuathiri psychology kule hamna hata mahali pa kuwekea kopo la maua na utamaduni wa kutengeneza gardens hawana kabisa.
Nyuma ya buhongwa na nyuma ya Igoma kuna nini?? Ndani tu ya jiji ni kama kijijini.Na siku zote huwa wanakimbilia huko, Na ujue hapo wamekusanya mkoa mzima vs mwanza city.
Ongea taratibu Bw Mathias Erasto asikusikie.gold crest Ina vyumba 80 Na Ni business class hotel
Mwenzako anasema 80 wewe 50 mpaka hapo hamjielewi wote havifiki hata 35.Gold crest Ina vyumba zaid ya 50, hotel za chuga zote ulizoweka hapo hakuna five star hotel l
Sm hw parrot...na yenyewe haipo verified
Huijui hata selian....hebu tuelez kwanza we arusha ulifka mwaka gani na hilo lori la dagaa...!hii n selian ambay wenzako wa mwanza wanaitambua vzur..!Hv chuga kuna hospital ya maana ya kuzidi hata ile ya wasabato ya pasiansi? Hebu watu wa chuga mdhitishe hilo...sorry kama mna dispensary
MICHUZI BLOG: Profesa Tibaijuka azindua hoteli ya Nyota tano jijini ArushaAcha kuropoka bila uchunguzi
Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishing
Kama unabisha pitia hii link
MICHUZI BLOG: NSSF KUTUMIA BIL. 72.8 KUJENGA HOTELI YA NYOTA TANO MWANZA
Onyesha five star hotel kwa chuga...zaid ya parrot ambayo hata hvyo na yenyewe inazungukia kwenye four hata mzigo hsijaanza kupiga fresh....NSSF walianza kujenga five star hotel mwanza mwaka 2014 sa hv wanamalizia finishing
Duh hizo ni nini?Hapa ni mwanza...stay tuned
View attachment 405841View attachment 405842View attachment 405843View attachment 405844
Unajua maana ya recreation centers??
Au city parks??
Master plan ya Kigamboni na ya satellite cities yoyote ile haijawa qualified bila kuwa na recreation centers.
Na jamaa ameielezea correctly kabisa kwamba they are acting like the lungs of the city.
Huo ni uchafu uliopitiliza hamna kitu hapo me nakuwekea house we unaleta guest house za nyegezi??Mi nakunyuka tuuu...mwanza hii..hayo mapagale yenu ya kawaida sana pande hzi
View attachment 405846View attachment 405847View attachment 405848