Nilichogundua kuhusu Arusha

Fisadi kuu mbna umeniletea mburura sana...daaah we ni mshamba kwel kwel ngoja nikalale....najua Chuga kuna vitu vizur...tafuta tafuta bas....sio kutuletea pagale za kawaida sana hata mosh zipo za kumwaga
Mani kakwambia unakimbia tuliza kiherehere hapo ule facts za USO we kenge wa Bismarck.
 
Ahahahaa atatoa wapi cha kuweka kila kona vyoo vya majamvi na masalfeti Mwanza hawana tofauti na India kwenye vyoo kwao hill ni jambo la anasa.
 
ARUSHA sokoni
 
ARUSHA stand ya busARUSHA stand ya bus
 
ARUSHA safari city on the way
 
Hapana 70% ya wakazi wa jiji wana Huduma ya maji iwe mlinani au bondeni.....changamoto ilikuwa ni matumizi ya vyoo ila sa hv tatizo hilo ni almost zero
Kweli tatizo la vyoo limepata mbadala saivi ni express za toilet bags hahhahaa.
 
Hakuna kitu kama hcho zpo kama mbil kama skosei...
We kumbe n bogus....unabishan wakati hata arusha hupajui...sasa haufaham hata arusha kuna traffic lights sehemu ngap umekalia ubishi tu wa kipimbi...!
 
ARUSHA cityARUSHA city
 
We kumbe n bogus....unabishan wakati hata arusha hupajui...sasa haufaham hata arusha kuna traffic lights sehemu ngap umekalia ubishi tu wa kipimbi...!
Huyo tokea aje na Lori la Dagaa miaka ya 2012 hakurudi tena usimshangae sana kiongozi.
 
Unaonaga Wascottish wanavyovaa visketi?? Yani huo ni utambulisho wa machalii wa Arusha.. Inaitwa minyonyoo

Hivi humu wanaishi watu au??

Mkuu unata kuniambia wamo watu huko ndani???????

Hahahahaaaa ni hatari tupu.
 
Nenda njiro na ppf, arusha Kuna cinema za kutosha, uwanja wa ndege burka, Kuna casino za kutosha, na sehemu kibao zinazoshabihiana na "shivers". Naona mkuu hukutembea vizuri, inaelelekea ulikuwa na woga mfukoni (pesa)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…