Nilichogundua kuhusu Arusha

Hivi huu upinzani wamwanza na Arusha mbona umekua mkali hivi.Utazani mmechukuliana Mme.
 
Aisee mbna unaongea kshabiki sana.....wamachinga Chuga hawapo, wachuuzi chuga hawapo? Nssf hotel ina miaka kumi? Mwanza kuna hotel mbili..? Rock city mall kuna wauza dagaa? Haha haaaaa...lofa sana wee....jitafakari af urud
Wapo lakini kwenye maeneo Maalum kama Crocon sio wanazagaazagaa kama mbwa wenye kichaa.
 
Nan asiyejua utalii sa hv chuga umekauka.....mpak hotel zinauzwa af unatuletea takwimu za serikali ya mwendo kasi.... Haya ndo mambo ya bandar kukauka mizigo af mnatwambia bandar ipo shwar na mapato yamevuka lengo
Kama mambo huyajui uliza hakuna hotel iliyofilisika Arusha zinabadilishwa umiliki tu zipo hotels kama 5 five star tupu mpya Arusha 2 hazina mwaka zinazinduliwa na 3 zipo U/C early stages Arusha will always be a hot cake for tourism.
 
Hahahahah aisee acha kuua mbu na nyundo ,umenifurahisha sana kumwonyesha jamaa toafauti ya Lodge na Bar ,mkaribishe tu hata First left au Sakina Bar ale kuku wa kuchoma wa kienyeji
Hahaa Uncle kwa kweli nimetumia nguvu kubwa kupita kiasi niwie radhi huyu mwisho ni kwa mrombo huko namuonea bure anaweza kusema hapo ni Europe.
 
Jibu lako linaendana na jina lako, Ubarikiwe
 
Dah vunga basi mama mkubwa vitu vingine sio kabisa ,Inamaana hakuna ndege za abiria zinazotua Arusha ? PW zinatua KIA peke yake ?
Nivunge nini Sasa wakati sijawahi kusafiri from arusha
 
Najifunza kitu Mwanza is Far most beautiful compared na Arusha ingawa watu huwa ni wakali humu.

Beaches, kuwa na international airport na ukaribu wa mbuga ya.Serengeti haihtaji mtu kupiga zumari kumbe.
Tupe takwimu za kiwango cha watalii na makampuni ya kitalii kulinganisha na Arusha.!!

Mwanza usingizi bado mkali sana kulinganisha na Arusha. Mbuga kuwa karibu na huwezi kuzitumia unapata faida gani?
 
Mbona kama bado haijaanza kujengwa umetuwekea picha za kupiga badala ya blue print?

Ya kwanza na ya pili zinaonekana kama blueprint lakini zilizobaki ni ziro kabisa.
 
Mpe facts huyo hajielewi watu wanapiga virgin cash madollar watalii wanamiminika yeye anaongelea kutoka BUHONGWA mambo ya Geneva.
OK no problem....first naomba amwage hapa hzo data za kuongezeka kwa mapato ya utalii kwa mwez august from 7 bill up to 11 bill ukilinganisha na mwaka uliopita kwa mwez huo huo...second hayo mapato in ya utalii wa arusha tuuu au ni total revenue ya tourism kwa mikoa yote? Mana inaonekana mna mihemko sana
 
Mkuu niongezee kidogo. Yaani fasheni ikiingia mwanza, Mji mzima unaivaa wanakuwa saresare mji mzima. Alafu useme Mwanza kuna wajanja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…