Nilichogundua kuhusu Arusha

Maneno mengi tu lakini TZ mji ni mmoja tu. DAR ES SALAAM. Huko kwingine sijui hali ya hewa sijui milima sijui simba ndo vitu gani? Huko ni porini, jiji kwa TZ ni Dar tu, kiasi na Mwanza.
nakubaliana na ww asilimia Mia moja.....umejaa ushabiki tu ila ukitembea na ukifanya tathmini sina shaka na ulichoandika...kuna watu aidha wanaandika kwakuwa sehemu fulani ndo kwao au chimbiko la jiji nchi hii ni Dar es salaam tu,kidoogo mwanza inafuata pengine ni siasa tu,miji ipiyobaki inafanana sana....huo ni uzoefu wangu...
 
Bado kuna watoto wazuri weupe wenye chura na meno ya dhahabu,ila ktu kikubwa zaidi arusha ni hali ya hewa tamu
 
Huyo atakuwa nmugawa 0713,coz arusha hakunaga soko la hzo mambo
 
Mingine ni kama MAVIJIJI mfano Mbeya
 
Mkuu jaribu kutia maguu na shivers pale kuna vivutio vingi sana.

wauza sukari wa pale ni wezi ki K... wale aisee.aangalie sana
pia akiweza apite kwenye ile supermarket ya ngono pale Mrina na Picnic aone vivutio..

ki ukweli hype ya Arusha ni kubwa mno tofauti na uhalisia..
 
umenena vema mkuu,umbali toka KIA hadi Arusha ni mfupi sana.
 
Mkuu Arusha haikauki JF uzuri wanaoleta mada wala sio wenyeji MTU kaleta mkaa anaongelea as if ni mtalii Arusha haiitaji pumzi nyingi kuielezea inajibrand automatically ndiomana kila siku haiwakauki mdomoni.
 
Arusha ni mji Wa mabilionea kila siku tunapiga debe hapa hamtuelewi ila mkija mnalalamika city bei juu sasa kuna mlalahoi atamudu hili life la kibepari?

Arusha kuishi inahitaji akili kubwa ndiomana washamba washamba hawapo huku kila MTU mjanja.

Na ukitaka kuomba kazi Arusha sharti uwe na uelewa Wa angalau lugha 2 za kimataifa English usiiweke sababu Arusha English ni kama kichagga.
 

Apex ipo mtaa gani mkuu?
 
Panda sanawari kutokea traffic lights utakipata hiki kiota cha kibabe kilimanjaro apex hotel nawakubali kwa nyama choma.
Kwa arusha ni ya kwaida sana.

Hzi lodge mbeya nying sana
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] watu wa A town nawapongeza wanapenda kusifia kwao Wazalendo awapendi mambo ya kijinga
 
Wakazi wa Arusha ni wabinafsi. Wana roho mbaya hata ongea yao ya kikatili katili tu mpaka wanawake...Mi nikifikaga Arusha kuna niboa sana kesho yake natamani kuondoka...Bora uishi Njombe au Songea wakazi wa huko wanaroho nzuri sana..
Roho nzuri inauzwa sh ngapi na mimi nikanunue??
 
wauza sukari wa pale ni wezi ki K... wale aisee.aangalie sana
pia akiweza apite kwenye ile supermarket ya ngono pale Mrina na Picnic aone vivutio..

ki ukweli hype ya Arusha ni kubwa mno tofauti na uhalisia..

Hahahahahaha
Ati supermarket ya madada poa wenye meno yaliyooza wao wanadai meno ya dhahabu.
Mrina annex Jirani na Casablanca hapo ni kiwanda
 


Najifunza kitu Mwanza is Far most beautiful compared na Arusha ingawa watu huwa ni wakali humu.

Beaches, kuwa na international airport na ukaribu wa mbuga ya.Serengeti haihtaji mtu kupiga zumari kumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…