Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,664
Sasa kiwanja cha ndege kipo KIA km14 tu kutoka arusha mjin unataka kiwanja kingine cha nini?Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Umebaki mwaka Fiesta iludshwe arusha a...... Na hyo si Sababu ya Fiesta kutopelekwaaa arushaNjooni na masingeli yenu tuwapopoe.
Kama ni upinzani mbna karibu majiji yote yamechukuliwa na upinzani, ukiacha mwanza pekee ambayo na yenyewe ccm walitia mazingaombwe. Kwa hiyo kama serikali kuingiza mkono kwenye sweta mbna itaua majiji yote sasa. Hakuna kitu kama hicho, labda unawaza kwa sauti!Hata hii baridi na vumbi navyo ni sehemu ya mafunzo, semeni ukweli upinzani kuishika Arusha, serikali kuu imeingiza mikono kwenye sweta lengo ikiwa ni kuwasomesha namba kwa nini mmewapa upinzani, ila kwa jinsi mlivyo wabishi mtaribishia ili
Uwanja wa ndege si upo wa KIA, ulijenga strategically kuhudimia Moshi na Arusha, tena wana uwanja wa ndege ndogo pale kisongo ambao ni mzuri kuliko viwanja vingi TZ ukitoa hivo international airports!Mi sio mkazi wa arusha najiulizaga tu hilo swali arusha hakuna uwanja wala stand kwanini
Sidhani kama umesafiri mikoani ukajuonea stand za mikoani ila mpaka saivi stand zenye hathi kidogo ni za Kigoma ikikamilika ya Moro na singida lakini ya Arusha huwezi hata kuifananisha na Nyegezi ya Mwanza bora kidogo Buzuruga.Acha kubishana, Arusha ni sehemu ya Utalii. Hata Stand ya mabasi ilivyo ni utalii tosha na muonekano wa watu wa pale ni utalii pia. Si kuna watalii wengi wanakuja kuangalia jinsi watu wanavyoishi na wanyama
Hapo umeongea kweli airport ya Arusha waboreshe lounge yao ila upo poa sana.Uwanja wa ndege si upo wa KIA, ulijenga strategically kuhudimia Moshi na Arusha, tena wana uwanja wa ndege ndogo pale kisongo ambao ni mzuri kuliko viwanja vingi TZ ukitoa hivo international airports!
Tatizo lako unafananisha DSM na miko mingine, dar ndo jiji haswa majiji mengine yamepewa hadhi kisiasa tu! Ukitaka fananisha Arusha na sehemu nyingine, ifanishe na Mwanza, Mbeya,Tanga,Ntwara ..... ndo utakuwa unaitendea kazi
Nisichopenda kuhusu Arusha ni barabara za mitaa hakuna, ukiacha barabara kubwa koote kwingine ni vumbi tu na ziko lowly maintaned tofauti hata na Dom
Hata mikoa mingine ina uniqueness yake. Tembea uone.Ni kweki Dar IPO advanced lakini Arusha ni unique sana na mikoa mingine.
Jiji la Dar limepangiliwa? Mwanza jeJiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina
Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Nimetembea yote Arusha is top.Hata mikoa mingine ina uniqueness yake. Tembea uone.
Uniqueness ya Dodoma ni omba omba wengi au?Hata mikoa mingine ina uniqueness yake. Tembea uone.
Hapo umeongea kweli airport ya Arusha waboreshe lounge yao ila upo poa sana.
Kuhusu barabara naona wanazijenga kwa kasi ya ajabu saivi kama za olorien, fire, njiro, shams wameshakamilisha na hii mpya inayotoka Sakina mpaka tengeru Arusha bypass nayo ni makilomita ya lami.
Fafanua mkuu top katika nini? acha lugha tataNimetembea yote Arusha is top.
Duh Windhoek mimi nilijua ni bia kumbe kuna mji unaitwa hivyoAchen uhuni nyie....Chuga imekaa ka europe aisee...kinachoharibu ni serikali kutoplay part yake kama inavyotakiwa.....kama serikal ingeplay part yake Chuga ingekuwa kama Windhoek.. Hata hvyo Chuga haina influence ya watu kuish kule kama dar na mwanza
Dada utajengaje viwanja vikubwa viwili within 50 Kilometers?? It is not economic viable. Kutoka Arusha stand mpaka KIA ni Kilomita 50 hivyo hivyo kutoka Moshi stand mpaka KIA ni kama kilomita 30..Duh watu mmeleta mahaba tu hapa hakuna asiejua kama arusha ni kuzuri, again arusha ni pazuri mnooo ila kwanini stand ipo vile ,kwanini hakuna kiwanja cha ndege cha maana?
Unaweza pia kumjibu hivi.. Kutoka JNIA mpaka Posta City center ni zaidi ya Saa moja na kukiwa na foleni ndio mpaka masaa mawili matatu yanaishia barabarani. Lakini kutoka Arusha City Center mpaka KIA ni dakika 30-45 pekee..Acha ushamba Kilimanjaro airport kipo mpakani mwa Kilimanjaro na Arusha katikati ya mikoa miwili.
Kutoka Kilimanjaro airport hautumii hata dak 45 kufika Arusha city center.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vile vindege vilivyopo pale kisongo sijui huwa vinaenda wapi au ngaramtoni