Kwa ambaye haijui hiyo mikoa vzr anaweza kukusikiliza, ila kwa mm nisiyekaa mwezi bila kutinga Mwanza/Arusha naelewa vzr nn ninachokisemaRekebisha hapo usilinganishe Mwanza na hicho kijiji chenu cjui mnakiita Arusha.
HuendaDom imekuja juu sana baada ya kujengwa UDOM na hizo barabara za IRINGA, SINGIDA na KONDOA! Imekuwa kwa haraka zaidi na hili la kuihamishia serikali huko ndo utasababisha mji ufurike
Miji yote ina maeneo yaliyopangwa vizuri na mengine yapo hovyo hovyo,, nenda nairobi hapo karibu zaidi, kaisome namba kibera😉Jiji halijapangiliwa kabisa at least njiro, moshono,sakina
Nenda kijenge,ungaltd matejo,eso daraja2 na kwingine utashika kichwa unplaned + uchafu mzee
Asie na elimu nani?
kuna ndege ya abiria inafanya safari Arusha mwanza ,Dar na kwingineko??? From Arusha sio KIA
Kuna Precision inatua pale Kisongo...Ona sasa mtu mzima unanizidi miaka 50 afu unaleta utoto aagrrr shkamoo kwanza....
Hoja hujibu unaruka ruka tu ,nishasafiri mara mbili nakata tiketi za precision kwenda mwanza ila tunapanda costa hadi KIA sasa kwanini hatuanzii safari Arusha?????
Sio swala la kutua kama ni ndege kutua hata njiwa wanatua hapo ,kwanini hamna ndege za kueleweka zinazoanzia safari hapo? Vindege vya hapo kisongo ni vile vidogo vidogo sio za abiria ARUSHA HAKUNA UWANJA NA STANDKuna Precision inatua pale Kisongo...
Nani kasema uwanja ujengwe kwenye makazi???Hv uwanja wa ndege kubwa kujengwa kwenye makazi ya watu ni sifa. Najaribu tu kujiongeza😵😵😵
Viwanja vya ndege kubwa ni vyema kujengwa mbali na makazi ya watu kuondoa noisy pollution. So uwanja wa ndege KIA upo sehemu stahili kabisa for enviromental purpose.
Ila kaakili kakiwa kafupi mtu aweza waza uwanja wa ndege unatakiwa kuwa katikati ya mji. Kama viwanda jinsi vinatakiwa kuwa mbali na makazi ya watu vivyo hvyo na viwanja vya ndege..
Mi sio mkazi wa arusha najiulizaga tu hilo swali arusha hakuna uwanja wala stand kwaniniTuache kujifanya wajanja, KIA kiko 50km from Arusha town, then unataka kujenga kiwanja cha ndege? Kwani viwanja vya ndege vimekuwa stend za daladala mpaka kila sehemu ziwepo?!
Wakazi wa Arusha mnatakiwa kulalamikia barabara za mitaa sio kiwanja cha ndege
Nawauliza wanaosema Arusha hakuna kiwanja. Kwani kiwanja cha KIA kipo wapi? Walitaka kikae katikati ya mji?Nani kasema uwanja ujengwe kwenye makazi???
Mi sio mkazi wa arusha najiulizaga tu hilo swali arusha hakuna uwanja wala stand kwanini
Watu wa huko mna mahaba yaliyopitilizaInawezekana mabasi yanayobeba watu huwa yanashushia abiria mmoja mmoja nyumbani kwao kwa sababu hamna stand. Za kushikiwa...🙁🙁
Kipo kilimanjaro sio arushaNawauliza wanaosema Arusha hakuna kiwanja. Kwani kiwanja cha KIA kipo wapi? Walitaka kikae katikati ya mji?
Akili nyingine matope tupu
Kumbe nawe ni mshamba Wa kawaida nani kakwambi Arusha wana "r" kwenye "l" rudi kanda ya ziwa kwenu.Poa poa nipo hapa bar ya stendi nashangaa rafuzi mare charii, mamaa, jombaa
Acha ushamba Kilimanjaro airport kipo mpakani mwa Kilimanjaro na Arusha katikati ya mikoa miwili.Kipo kilimanjaro sio arusha
Acha kubishana, Arusha ni sehemu ya Utalii. Hata Stand ya mabasi ilivyo ni utalii tosha na muonekano wa watu wa pale ni utalii pia. Si kuna watalii wengi wanakuja kuangalia jinsi watu wanavyoishi na wanyamaNdo shida yenu watanzania,nimekua **** mara hii,anyway nina uzoefu kwenye tour operator kwa zaidi ya miaka 10 so kuhusu Nationa park tutakesha,na UJUHA wangu ARUSHA sio stendi ya mabasi,haiishii hapo,ARUSHA ni zaidi ya unavyohisi,kwa kuwa unaongea kwa mhemko hautahimili maelezo ya kina,wacha niamini pamoja nawe kuwa ARUSHA inaishia stendi ili niwe **** MKUU!
Nafikiri hats ndege unaionaga tu kwenye TV unasema ulishafika Arusha precision wakakupakia kwenye shuttle KIA wakati hats Arusha airport wanapakia na kushusha?Sio swala la kutua kama ni ndege kutua hata njiwa wanatua hapo ,kwanini hamna ndege za kueleweka zinazoanzia safari hapo? Vindege vya hapo kisongo ni vile vidogo vidogo sio za abiria ARUSHA HAKUNA UWANJA NA STAND
Ni kweki Dar IPO advanced lakini Arusha ni unique sana na mikoa mingine.Dar ni kila kitu kwa TZ ...Mikoa mingine ni kelele tu.