Nilichekwa sana ila leo yametimia..!!!!!

Nimeskia imetajwa kwenye bajeti ya serikali bungeni muda huu. Hongera sana
 
nimetimiza malengo

Mkuu, chukua tahadhari na uwe makini na vitu hivi kwa sababu kinaweza kuja na mambo matatu kama hutakuwa makini nacho kama ifuatavyo:
1. Kukuingiza kwenye kupenda totozi kwa sababu sasa una miguu ya kuzifuata = magonjwa kama UKIMWI
2. Kupata ajali kutokana na shauku uliyokuwa nayo, utataka kuendesha kazi ili sisi tuliokuwa tunakucheka tukuone= ajali, kilema, kifo
3. Kuvuruga ndoa yako kama umeoa.

Hivi ulishasikia kuwa kuna Baba mwenye gari ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…