😄😄😄 Sawa ila mwisho wa shukirani uweke mitano tena🤣Kama lilivyo jina lako Tajiri huna baya shukran utazipata maliza story kwanza
🚶🏼♀️😄😄😄 Sawa ila mwisho wa shukirani uweke mitano tena🤣
🙌🙏🙏🚶🏼♀️
Nipo mkuu.Tunaenda mwisho sasa
Pamoja mkuuNipo mkuu.
Mkuu nimeiona, tajira huna baya😂😂😂😂huyu laima aliyefanya had ushindwe kuhifadhi namba za simu kiboko kwa kweli.Tayari mkuu usiseme sikukwambia
Nini sasa?hahaha
wewee
Pamoja mkuu nitafikiria kisa kingine cha kukiandika, ili tupate kuburudika na kujifunza pia.Mkuu nimeiona, tajira huna baya😂😂😂😂huyu laima aliyefanya had ushindwe kuhifadhi namba za simu kiboko kwa kweli.
Hahahaaa, hongera mkuu, u mwandishi mzuri, unapangilia vizuri story, ikiisha ya laima tupia nyingine.
Embu nitafunie hayo madini kwanza Lamama..Nini sasa?
Mbona tayari muda mrefu sana 😎Embu nitafunie hayo madini kwanza Lamama..
Nitumie voicenote basiMbona tayari muda mrefu sana 😎
Nishakutumia wewe hujacheki itakuwa 😎Nitumie voicenote basi
Nimeona,Nishakutumia wewe hujacheki itakuwa 😎
Sitaona 😄Nimeona,
halafu vua hizo glass bhana
Hahaha utatumia macho yanguSitaona 😄
Haha wee sitaki yanikute ya Jongoo na Nyoka 😂😂Hahaha utatumia macho yangu